Mgongo

BelindaJacob

Platinum Member
Nov 24, 2008
6,474
4,022
Habari JF

Nina matatizo ya mgongo na yameanza siku za karibuni. Kuanzia saa 4 asubuhi mpaka 11 jioni nakuwa nimekaa kwenye kiti, labda niende lunch au kunyoosha miguu na movement chache tu. Je inaweza kuwa tatizo la kukaa sana?au kiti nikaliacho na position?

Nikirudi nyumbani na kujilaza najisikia afadhali mana ni kama naupumzisha mgongo.
Naogopa nisije nikawa na matatizo zaidi ya mgongo na sijui. Nisaidieni

Shukrani!
 
Jaribu pia kuangalia kiti unachotumia Belinda, isije kikawa kigumu kinashindwa ku cushion therefore mgongo unaumia.
 
Mi naona pengine hujakutana na mzee muda mrefu ndo maana inakutokea hivyo hata mimi nisipo kutana na wifi yako iwa napatwa na tatizo hilo nikisha jiexpress aaah swafiiiiiiii.
 
BelindaJacob,

Pole sana BelindaJacob,nakushukuru sana kwa kuanzisha hii mada,nilipata tatizo kama lako wiki mbili zilizopita na nilijaribu kutafuta sababu ya kuumwa mgongo, na mpaka sasa sijajua nini kilisababisha,jamani kama kuna doctor huku hebu na atueleze nini husababisha mtu kuumwa na mgongo.
 
belinda,i am available free of charge kwa sababu wewe ni member humu JF kuu massage therapautically na with unrivalled proffesionalism huo mgongo mpaka maumivu yapotee.results are guaranteed,usually i charge 50£ per session
 
Jaribu pia kuangalia kiti unachotumia Belinda, isije kikawa kigumu kinashindwa ku cushion therefore mgongo unaumia.

Bill
Asante kwa ushauri, kweli ndo mana nimeuliza labda ni kiti na cushion zake.
 
Mi naona pengine hujakutana na mzee muda mrefu ndo maana inakutokea hivyo hata mimi nisipo kutana na wifi yako iwa napatwa na tatizo hilo nikisha jiexpress aaah swafiiiiiiii.

Fidel
Siyo siri maumivu ya mgongo ni makali mpaka nimeuliza kwa Docta hapa huku nikipanga appointment niende hospital.
Hiyo theory yako ya kuumwa mgongo ni kali kwakweli.
 
Belinda check pia kwa akina mama kuna mambo mengi, likiwemo hili, kama period inakaribia huwa migongo inauma sana, je wewe ni kila siku ya mungu au ni kwa vipidi tu? Kama ni vipindi observe kabala ya siku au baada?

Nina hiyo problem mimi ila ni kwa ajili ya siku, i never waste my time zaidi nameza pain killer tu au fanya massage na Aloe heat inaisha yenyewe. Kitu kingine alichosema Fidelis ni kweli kama hufanyi tendo tendo la ngono inaleta maumivu pia.
 
Pole sana BelindaJacob,nakushukuru sana kwa kuanzisha hii mada,nilipata tatizo kama lako wiki mbili zilizopita na nilijaribu kutafuta sababu ya kuumwa mgongo,na mpaka sasa sijajua nini kilisababisha, jamani kama kuna doctor huku hebu na atueleze nini husababisha mtu kuumwa na mgongo.

Asante Msindima, pole na wewe kwa kupatwa na tatizo hili.

Tutapata ushauri hapa, mimi naona unauma mfululizo pia nimeonelea nipate appointment kwenda kwa daktari kwa check up zaidi. Ni bora kujua athari zaidi kuliko kuona ni maumivu ya kupita.
 
Belinda check pia kwa akina mama kuna mambo mengi, likiwemo hili, kama period inakaribia huwa migongo inauma sana, je wewe ni kila siku ya mungu au ni kwa vipidi tu? Kama ni vipindi observe kabala ya siku au baada?

Nina hiyo problem mimi ila ni kwa ajili ya siku, i never waste my time zaidi nameza pain killer tu au fanya massage na Aloe heat inaisha yenyewe. Kitu kingine alichosema Fidelis ni kweli kama hufanyi tendo tendo la ngono inaleta maumivu pia.

Caroline
Asante mamii kwa ushauri..nimefuatilia nikikaribia mzunguko sina tatizo hili. Karibuni swala la mgongo limekuwa mfululizo tangu June hivi ila sasa unauma kila siku. huwa pia ninabeba laptop daily on-off kazini na sipandi gari wala usafiri wowote ni kutembea tu, sijui inachangia?

massage nani anakufanyia? sorry nimeuliza ili kama unaenda kwa specialist na mimi niende. Na hiyo theory ya Fidel mimi ndo nimesikia leo,kumbe na wewe unaifahamu. Salimia haisaidii? ile ya kupaka kama unaijua!
 
belinda,i am available free of charge kwa sababu wewe ni member humu JF kuu massage therapautically na with unrivalled proffesionalism huo mgongo mpaka maumivu yapotee.results are guaranteed,usually i charge 50£ per session

SOA
Asante, huu inawezekana ni ushauri wa kitabibu lakini hamna kitu bure duniani!..
Labda unielekeze jinsi massage hiyo inavyofanywa hata mdogo wangu anisaidie..unapaka nini mgongoni?
Serious, mgongo unaniuma sana..Naomba ushauri wa mawazo, vitendo nitafanya mwenyewe..
 
Mi naona pengine hujakutana na mzee muda mrefu ndo maana inakutokea hivyo hata mimi nisipo kutana na wifi yako iwa napatwa na tatizo hilo nikisha jiexpress aaah swafiiiiiiii.

Heheheeh tupo pamoja kila week end, labda nitabadili aina za massage !
 
belinda,i am available free of charge kwa sababu wewe ni member humu JF kuu massage therapautically na with unrivalled proffesionalism huo mgongo mpaka maumivu yapotee.results are guaranteed,usually i charge 50£ per session

Mhhhhh
 
Belinda usitake nicheke mamie, mimi massage nafanya mwenyewe na hiyo aloe heat. Kiukweli sina wa kunifanyia massage hata BF sina mpaka nifanye mawindo mara moja moja tena kwa mbinde kweli kweli.
 
Mi naona pengine hujakutana na mzee muda mrefu ndo maana inakutokea hivyo hata mimi nisipo kutana na wifi yako iwa napatwa na tatizo hilo nikisha jiexpress aaah swafiiiiiiii.

FIDEL, Mimi nisipo jiexpress kwa muda kama miezi 3/4 nakuwaga sioni kabisa na wala sijui naelekea wapi hata gari siendeshi kuepuka ajali na kiuno kinakuwa na maumivu makali sana sana, japo naendaga gym kila siku mazoezi pekee hayatoshi nafikiri ur point hold water
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom