Mgomvi nani?

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
740
avatar20616_6.gif


Tusipowaachanisha watauana. Kati yao mgomvi nani?
 
avatar20616_6.gif


Tusipowaachanisha watauana. Kati yao mgomvi nani?


Mweehh!!! Jamani hapo kuna ugomvi kwani?? mbona wenyewe wanaonekana wako peace tu bana and zei are injoing' zemselvz???

Kama hili nalo ni ugomvi basi hakuna la amani duniani...hahahaa!!!
 
Subiri kidogo tafadhali, naomba definition ya ugomvi/ugoni
 
Kuchokoza, kuchokonoa, kuumiza, kupiga, kubonda, kutwanga, kutusi, kuzodoa....

Basi sidhani kama kuna ugomvi hapo ila tulipokua wadogo kwa baadhi yetu wale waliobahatika kulala na wazazi wao; walikua wanawaona kama vile wanapigana na ndio chanzi cha maneno hayo kupatikana...yaani mtoto akiwaona vile mlivyo anajua mnagombana ati.....mmmh kazi kweli kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom