Mgomo wa walimu:CHADEMA inahusika?

Mgomo wa walimu:CHADEMA inahusika?

sem2708

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
5,818
Reaction score
4,965
wana jf! naona mgomo wa walimu umeanza kushika kasi,je kibwagizo cha kwamba CHADEMA inahusika kwenye migomo mbali mbali kuimbwa tena?
 
Wakishalikoroga liwalo na liwe, dhaifu and company wanasema chadema ndo inahusika.
Lets wait and see.
 
hili swala liko mahakamani kwanini unaliongelea hapa?
 
huu mgomo unaweza ukatikisa kuliko ule wa madaktari.
 
hakuna cha CHADEMA wala nini wanaohusika ni walimu wenyewe na mgomo huu hauishi mpaka kieleweke! liwalo na liwe,
 
CHADEMA inahusika katika kila kitu Tanzania,
Migomo yote ni CDM,
Ubadhirifu serikali ni CDM,
wanaogopa kikichukua madaraka watabaki uchi.
Marais wastaafu na mawaziri kuweka fedha Uswis ni CDM,
ikichukua madaraka haina mpango wa kuwalipa wazee hawa.
Kuuzwa kwa mashirika ya umma ni tatizo ni CDM,
kunyang'anya watu ardhi na kuwapa wakoloni ni CDM,
CHADEMA ni chama hatari kwa maslahi binafsi ya CCM.
Dawa yao ni kuwafungulia kesi za kubambikwa,
na kuwaburuza mahakamani.
Polisi ni wetu CCM,
UWT ni wetu CCM,
JWTZ ni letu CCM,
Mahakama ndo usiseme,
zimejaa Majaji Makada kila kanda,
Watu wetu CCM kwenye system ni lazima,
watekeleze ilani ndani ya ilani ya CCM,
Nayo ni kuhakikisha viongozi wa CDM,
wanabanwa katika kila jambo,
kuanzia Bungeni mpaka kwenye mikutano yao na wananchi.

Kidumu Chama Cha mapinduzi, ............................................chadumuuu!
Zidumu Fikra zote za mwenyekiti wa CCM,..................................Fidumuu!
Wadumu mafisadi wote wa CCM.............................................Madumuu!
Udumu Msitu wetu mtukufu wa MabwePande..............................Mdumuu!
Wadumu viongozi wa mapambano Kova na Jack....................Vidumuu!
Adumu shujaa wa CCM Ahmed Msangi......................................shudumuu!
Idumu TISS kwa kuibeba CCM kwa mbeleko...............................Tidumuu!
Wadumu wazungu waliokuja kututawala tena...........................Wadumuu!
Wadumu waarabu na falme zao tukufu,..................................Wadumuu!
Wananchi mmelalaaa......................................................Ndiyo tumelalaaaa!

Asante sana wananchi mnaweza kuendelea kulala.
 
Unauliza jibu!
kama CHADEMA ndio chanzo cha matatizo haya yote.na kama kweli watz hawana matatizo isiplkuwa yanatengenezwa na CHADEMA. kwanini serikali isifute CHADEMA for good??
 
Uhuru unakaribia..si kitambo sana. Tatizo watu wengi wameshindwa kusoma alama za nyakati. Na mgomo wa wakulima kanda ya ziwa unakuja. Si mnasema CHADEMA wanahusika?


Haya, yetu macho...
 
huu mgomo unaweza ukatikisa kuliko ule wa madaktari.
The government wont care.
Its foundation is built way deep in UJINGA.
It has very much invested in UJINGA since its coming to power back 2005 (remember shule za kata, vodafasta walimu etc.).
Ile ya Madokta was a nightmare, an accountable government was required to step down in totality
Top-down.
 
Back
Top Bottom