Mgomo wa walimu:CHADEMA inahusika?

kama chadema ni kujua ukweli basi inahusika!
CHADEMA inahusika katika kila kitu Tanzania,
Migomo yote ni CDM,
Ubadhirifu serikali ni CDM,
wanaogopa kikichukua madaraka watabaki uchi.
Marais wastaafu na mawaziri kuweka fedha Uswis ni CDM,
ikichukua madaraka haina mpango wa kuwalipa wazee hawa.
Kuuzwa kwa mashirika ya umma ni tatizo ni CDM,
kunyang'anya watu ardhi na kuwapa wakoloni ni CDM,
CHADEMA ni chama hatari kwa maslahi binafsi ya CCM.
Dawa yao ni kuwafungulia kesi za kubambikwa,
na kuwaburuza mahakamani.
Polisi ni wetu CCM,
UWT ni wetu CCM,
JWTZ ni letu CCM,
Mahakama ndo usiseme,
zimejaa Majaji Makada kila kanda,
Watu wetu CCM kwenye system ni lazima,
watekeleze ilani ndani ya ilani ya CCM,
Nayo ni kuhakikisha viongozi wa CDM,
wanabanwa katika kila jambo,
kuanzia Bungeni mpaka kwenye mikutano yao na wananchi.

Kidumu Chama Cha mapinduzi, ............................................chadumuuu!
Zidumu Fikra zote za mwenyekiti wa CCM,..................................Fidumuu!
Wadumu mafisadi wote wa CCM.............................................Madumuu!
Udumu Msitu wetu mtukufu wa MabwePande..............................Mdumuu!
Wadumu viongozi wa mapambano Kova na Jack....................Vidumuu!
Adumu shujaa wa CCM Ahmed Msangi......................................shudumuu!
Idumu TISS kwa kuibeba CCM kwa mbeleko...............................Tidumuu!
Wadumu wazungu waliokuja kututawala tena...........................Wadumuu!
Wadumu waarabu na falme zao tukufu,..................................Wadumuu!
Wananchi mmelalaaa......................................................Ndiyo tumelalaaaa!

Asante sana wananchi mnaweza kuendelea kulala.
 
Siasa za ccm hizo haitatui migogoro bali inatafuta kuwachafua na kuwatisha wadai haki
 
Hata nikigoma kumpa unyumba mume wangu itasingiziwa Chadema

Kweli dada yangu...hasa kama una kadi ya CDM...?? Lazima CHADEMA ITAKUWA INAHUSIKA....serikali yetu inaongozwa na VILAZA WOTE....!!!!
 
Back
Top Bottom