Mgomo wa wahadhiri vyuo vikuu wanukia

Kindus

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
4,229
Reaction score
3,329
Ni kufwatia kukamatwa na kupewa kesi ya ugaidi kwa wenzao wa UDOM
Vikao vya chama cha wahadhiri vyuo vikuu vinaendelea ili kuona namna ya kuchukua hatua stahiki za haraka
Eitha kutokana na hali ilivyo usiri umetawala na huenda wakatoka na azimio moja tu la mgomo.
 
Inawezekana kabisa ,huu ni upuuzi kumfurahisha mtawala,hata Yeye huenda anawashangaa!
 
Hawawezi,wanajua mbilinge yake!
 
Vijana kibao hawana kazi, wagome vijana wapate ajira.
 
Hakuna muhadhiri anayeweza kugoma. Kwanza wahadhiri wengi ni machawa. Pili wananjaa sana.Wahadhiri wanaongeka kwa elfu 10, elfu 50 kirahisi tu. Yaani ndio utegemee wagome kwa sababau ya mwenzao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…