Mgomo wa St.John's umezua balaa

CHIPANJE

JF-Expert Member
May 1, 2011
321
53
Inasemekana wanafunzi kumi na tano(15) wamesimamishwa masomo mpaka pale utawala wa chuo hicho utakapotoa maamuzi.


Wanafunzi walisalia wametakiwa kuripoti chuoni hapo siku ya tar.02 Jan.Watahitajika kudownload barua maalumu itakayowekwa kwenye mtandao na utawala wa chuo hicho.


Barua zao zitahitajika zijazwe na kupigwa mihuri na viongozi wao wa serikali za mitaa,wanafunzi wanaodaiwa watatakiwa kulipa ma madeni yote pamoja na kufanya udahili katika uwanja wa Jamhuri.
 
Siku hizi ndio kamekuwa kamtindo..wanafunzi kupelekwa Jamuhuri stadium kwa vyuo vya hapa Dodoma?
 
Back
Top Bottom