Mgomo wa madereva wote nchini Ijumaa

Mgomo wa madereva wote nchini Ijumaa

singidadodoma

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,394
Reaction score
1,538
Leo asubuhi wakati natokea kiteto Mkoani Manyara konda na dereva wake walikuwa wanazungumzia kuwa wiki ijayo kutakuwa na mgomo kwa madereva wa mabasi na abiria nchi nzima wenye taarifa watujuze.

MGOMO RASMI WA MADEREVA NCHI NZIMA

Chama cha Umoja wa Madereva Tanzania chasema mgomo rasmi wa Madereva nchi nzima utaanza Ijumaa endapo Serikali na Taasisi zake hazitashughulikia malalamiko yao, wakati huo huo Jeshi la Polisi Kikosi cha usalama barabarani kimesema kitendo cha madereva wa mabasi na malori nchini kuitisha mgomo si cha kiungwana.

Chanzo:EA Radio

Chama cha kutetea haki za abiria chaunga mkono mgomo wa Madereva.
 
Leo asubuhi wakati natokea kiteto mkoani manyara konda na dereva wake walikuwa wanazungumzia kuwa wiki ijayo kutakuwa na mgomo kwa madereva wa mabasi na abiri nchi nzima wenye taarifa watujuze

Kidumu chama cha mapinduzi
 
Yasemeka kuwa wanatakiwa kwenda kusoma kila baada ya miaka mitatu wakati wa kuongeza madaraja ya leseni na ikitokea wakashindwa kufanya vizuri watapunguziwa madaraja ya leseni zao.

Gharama ya leseni class c plain kufika mpaka lak tano. Hizo ni miongoni mwa madai yao.
 
Wanadai mikataba ya ajira kwa waajiri wao wanasema zaidi ya asilimia 80 ya madereva wote nchuni hawana mikataba.

Pia wanataka kutembea zaidi ya kilometa 100 kwa saa badala ya kilometa 80 kwa saa za sasa
 
Hii sijui kama itapita.
 
Nasisi Abiria Tugomee Hizo Kilometer 100 Kwasaa Zinazodaiwa Na Madereva!
 
Ivi kama kiongozi watu wakiwa wanadai maslai yao kwa njia ya migomo unasikiaje.
Kulipa laki tano kila baada ya miaka kadhaa sio kazi rahisi jamani.ILo la speed ni sawa tuu heri nichelewe nikiwa mzima kuliko kuwai nikiwa maiti/majerui
Anyway yetu macho
 
Leo asubuhi wakati natokea kiteto mkoani manyara konda na dereva wake walikuwa wanazungumzia kuwa wiki ijayo kutakuwa na mgomo kwa madereva wa mabasi na abiri nchi nzima wenye taarifa watujuze

ngoja nikamuulize ulimboka au yule kiongozi wa jkt halafu ntakuja na majibu
 
Hilo swala la kuingia tena darasani wakati wa ku renew licence ni swala tata sana na endapo watapitisha maazimio yao madereva wote tutaondoka barabarani
 
tunagoma april 10 sumatra waje na mikataba ambayo walitoa njia kwa wamiliki wa magari ili idara ya kaz watuthibitishie
 
Leo asubuhi wakati natokea kiteto mkoani manyara konda na dereva wake walikuwa wanazungumzia kuwa wiki ijayo kutakuwa na mgomo kwa madereva wa mabasi na abiri nchi nzima wenye taarifa watujuze

Wagome tu, kwa nini walichagua magamba???
 
Back
Top Bottom