Mgomo wa madereva wote nchini Ijumaa

Mgomo wa madereva wote nchini Ijumaa

Leo asubuhi wakati natokea kiteto mkoani manyara konda na dereva wake walikuwa wanazungumzia kuwa wiki ijayo kutakuwa na mgomo kwa madereva wa mabasi na abiri nchi nzima wenye taarifa watujuze[/QUOTE
Mimi nipo Dar, juzi nilikuwa naenda maeneo ya Bunju. Kwenye basi nililopanda nikawasikia jamaa 2(nahisi madereva) walikuwa wanazungumzia kikao cha madereva kilichofanyika siku ndiyo, na kwamba wameazimia kugoma Ijumaa ya wiki hii. Kwa ndiyo huenda kuna ukweli juu ya hili
 
naunga mkono huo mgomo hasa ktk malalamiko juu ya ulipwaji/kutokulipwa bima kwa madereva na abiria, ajari inapotokea...
 
Safari niliyoanza saa 12 asubuhi pale MZA, saa hizi ndo tunaingia Kibamba! Sheria ya kutotembea baada ya saa nne leo naona hakuna kwani muda huo tulikuwa Chalinze.
 
Safari niliyoanza saa 12 asubuhi pale MZA, saa hizi ndo tunaingia Kibamba! Sheria ya kutotembea baada ya saa nne leo naona hakuna kwani muda huo tulikuwa Chalinze.

wameongeza muda mpaka saa sita
 
Kurenew leseni ukasome tena, ada shs 560,000(laki tano na sitini) huu si uonevu?
 
kumbe madereva wengi wapo ktk mfumo wa dayworker..

waacheni wagome pengne watapata ajira za kudumu na penshen baadae..
 
Kurenew leseni ukasome tena, ada shs 560,000(laki tano na sitini) huu si uonevu?

This is ridiculous! Hivi Sumatra hawana initiative nyingine za kukusanya mapato? Nikija na International Driving Licence permit wataikataa? It's a bit cheaper than bei hiyo.
 
Back
Top Bottom