Mgomo wa madereva wa mtandaoni Uber na Bolt

Mgomo wa madereva wa mtandaoni Uber na Bolt

you are brainwashed broh! kuna makampuni ya Asia na Africa yanafanya vzr sana tofauti na unavyofikiria, stay positive and don't be deceived na wazungu hata wao pia ni wapigaji, hao vodacom ni mara ngapi wamelalamikiwa kwa wizi wa data?
Maamuzi ni yangu. Uchaguzi ni wangu.

Wewe kama unaona kuna kampuni ziko vizuri hukatazwi.

Haya ya kupangiana maisha ndio hata Magufuli anayakataa.
 
Pole kiongozi; Unaonaje ukahamia kabisa Ulaya au Amerika kwani naona hapa Bongo unateseka sana kwani hayo makampuni ya Ulaya na America yapo kwenye baadhi ya huduma tu; nyingi ni za waafrika/watanzania pamoja na waasia.
Nimeona nikupatie walau kaushauri

Kwani kuna mahala nimeomba ushauri?
 
Hawa ni matapeli wa kimataifa na very corrupt company. Nchi nyingi tu wameisha furushwa kwa kujifanya wao eti sio transportation na ni high tech company. Wakiambiwa basi kama nyie ni high tech company inabidi mfuate labor laws wanasema eti sisi ni independent contractors. Wakiambiwa kama nyie ni independent contractors inabidi mfuate transportation rules like taxis wanasema wao sio taxi ila ni service company.
Utapeli wao hauna mwisho ni notorious kwa kuwa-stiff na kuwa-cheat drivers na pesa zao.
In some cases, wana-operate two charging systems for the same customer. Figure wanayo m-charge mteja ni tofauti na figure driver anayoiona kwenye simu yake. Na surge prices wakati mwingine hata driver hazioni.
Utapeli wanaotumia ni mwingi huwezi kuuelezea wote hapa. In short, these are master swindlers and they have been into existence though corruption of government officials at the expense of poor taxi drivers who have playing by the rules and paying taxes to cities for years.
 
Nashangaa imewachukuwa wachache wanaojielewa muda mwingi kuelewa jinsi UBER na BOLT wanavyonyanyasa, tapeli, kandamiza na kuwadhulumu madereva wao, tena ukichukulia gari na zenu...
Kuna kazi zingine wakuu mnaweza fanya, acheni nawo, mwaweza fanya "courier services" hata kubadilisha kabisa leseni na muwe TAXI za kawadia mtaani, hata kufanya biashara ya kusambaza vyakula, nyama, kuku, mizigo ya kawaida n.k.
Itapendeza wengine wakiwaunga mkono, hiyo ni kama wanajielewa...
 
madereva wa uber na bolt n wezi wakubwa nyie.mlizoea vya kunyonga, bei ya mafuta imeshuka dunian kote nyie mlitaka muendleee kupiga pesa na shid ayenu n kwamba weng magar sio yenu mmepewa kwa hesabu lakin hampelek hesabu kama inavotakikana.
 
madereva wa uber na bolt n wezi wakubwa nyie.mlizoea vya kunyonga, bei ya mafuta imeshuka dunian kote nyie mlitaka muendleee kupiga pesa na shid ayenu n kwamba weng magar sio yenu mmepewa kwa hesabu lakin hampelek hesabu kama inavotakikana.

Kwa hiyo unataka kusemaje qmmk
 
Madereva kwa pamoja tumeamua kuandaa mgomo dhidi ya kampuni za kinyonyaji Uber na Bolt hivyo madereva wengine wa mtandaoni mnaposikia taarifa hii mwarifu na mwenzako mipango kamili inaendelea kwenye makundi yetu ya WhatsApp ili kujua lini na wapi
Kuna App za wazawa kama TANTAXI ambazo ziko vizuri sana na zingeleta mabadiliko ila watu wamekariri uber na Bolt. Uwekezaji pia lazima utazame wawekezaji wa ndani ambao gharama zao za uendeshaji sio kubwa kivile kiasi haitowalazimu kuweka kamisheni kubwa kama ilivyo kwa Bolt na Uber: TanTaxi Passenger - Apps on Google Play. Hii TanTaxi haikati kamisheni kwa sasa na wamedhamiria kutovuka asilimia 10%. Abiria anafaidika na dereva anafaidika na kupata moyo wa kutoka huduma nzuri.
 
Back
Top Bottom