Zima App ulale Njaa. Uber hawakuja kukuomba ufanye nao kazi. Njaa zako ndio zilikupeleka hukoBs mnaojielewa mtawarequestia mademu zenu boda boda kwa muda wote tutakaozima app zao
Zima App ulale Njaa. Uber hawakuja kukuomba ufanye nao kazi. Njaa zako ndio zilikupeleka hukoBs mnaojielewa mtawarequestia mademu zenu boda boda kwa muda wote tutakaozima app zao
Uliingia Uber kwa hiari. Hukulazimishwa. Acha tu shida ipo wapi mnatisha watuKama unaona hyo ndo sbb mkuu utakua una akili fupi kuliko maelezo
Uckariri maisha utadownload tu moja kati ya hzo app afu uone nalalaje njaa kama hutaki panda eicherZima App ulale Njaa. Uber hawakuja kukuomba ufanye nao kazi. Njaa zako ndio zilikupeleka huko
Pole kiongozi; Unaonaje ukahamia kabisa Ulaya au Amerika kwani naona hapa Bongo unateseka sana kwani hayo makampuni ya Ulaya na America yapo kwenye baadhi ya huduma tu; nyingi ni za waafrika/watanzania pamoja na waasia.Napenda uber sana kwa sababu hata customer service yao ni ya kimataifa. Reclaim procedures zao ziko wazi zinaeleweka.
Mitandao ya kiswahili swahili mimi hapana.
Ndio maana hata kwenye simu natumia Vodacom kwa sababu ya customer service yao. Huwezi kunikuta tigo sijui halotel.
Sina imani na kampuni yoyote iliyotokea asia au hapa Afrika kwenye suala la huduma kwa wateja.
Kama wanatishwa haya subiri picha linakuja mwezi haumalizikiUliingia Uber kwa hiari. Hukulazimishwa. Acha tu shida ipo wapi mnatisha watu
Chkua pepsi max ntalipiaUnaonaje ukahamia kabisa Ulaya au Amerika kwani naona hapa Bongo unateseka sana kwani hayo makampuni ya Ulaya na America yapo kwenye baadhi ya huduma tu; nyingi ni za waafrika/watanzania pamoja na waasia
Kabsa mkuu na madereva weng magari sio yaoHii huduma ni nzuri kama una gari yako. Ila kama unapeleka hesabu kwa tajiri lazima uone maumivu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye huu mgomo kuna ambao hawatoshiriki. Mathalani wale wenye magari yao binafsi.Kabsa mkuu na madereva weng magari sio yao
Sina uhakika sana ila ngj tuoneKwenye huu mgomo kuna ambao hawatoshiriki. Mathalani wale wenye magari yao binafsi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kazi ambayo Haina maumivu? Komaa acha kujilegezaHii huduma ni nzuri kama una gari yako. Ila kama unapeleka hesabu kwa tajiri lazima uone maumivu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee naona umemuandama sana kijana hapumui[emoji16][emoji16]Kuna kazi ambayo Haina maumivu? Komaa acha kujilegeza
Ipo kama hii nayofanya mmKuna kazi ambayo Haina maumivu? Komaa acha kujilegeza
ipi? mbona huitaji?
Mzee wangu alisha hustle kwa ajili yangu. Jukumu langu ni kuhakikisha wavuja jasho wanatekeleza majukumu yao. Kazi yangu kuzungukazunguka tu na kula bata. Hapo vp mzee?ipi? mbona huitaji?
hapo sawa mkuu. Kila la heriMzee wangu alisha hustle kwa ajili yangu. Jukumu langu ni kuhakikisha wavuja jasho wanatekeleza majukumu yao. Kazi yangu kuzungukazunguka tu na kula bata. Hapo vp mzee?
Sent using Jamii Forums mobile app
you are brainwashed broh! kuna makampuni ya Asia na Africa yanafanya vzr sana tofauti na unavyofikiria, stay positive and don't be deceived na wazungu hata wao pia ni wapigaji, hao vodacom ni mara ngapi wamelalamikiwa kwa wizi wa data?Napenda uber sana kwa sababu hata customer service yao ni ya kimataifa. Reclaim procedures zao ziko wazi zinaeleweka.
Mitandao ya kiswahili swahili mimi hapana.
Ndio maana hata kwenye simu natumia Vodacom kwa sababu ya customer service yao. Huwezi kunikuta tigo sijui halotel.
Sina imani na kampuni yoyote iliyotokea asia au hapa Afrika kwenye suala la huduma kwa wateja.
Basi nenda uolewe na ndugu yakeKwa comment hii inaonesha wazi alichosema mdau hapo juu Ni kweli kwa asilimia 100