Mgomo wa madereva wa mtandaoni Uber na Bolt

fbullet

Member
Mar 25, 2013
65
63
Madereva kwa pamoja tumeamua kuandaa mgomo dhidi ya kampuni za kinyonyaji Uber na Bolt hivyo madereva wengine wa mtandaoni mnaposikia taarifa hii mwarifu na mwenzako mipango kamili inaendelea kwenye makundi yetu ya WhatsApp ili kujua lini na wapi
 
1. Nini madai ya mgomo wenu?

2. Mmeshajaribu usuluhishi wa amani ukashindikana?

3. Je hapa unahamasisha mgomo au tayari mmeshagoma? (Ili watumiaji wa huduma hizo tufikirie huduma mbadala).
 
Madai ni meng madereva wanayajua

Usuluhishi wa amani hatujapa kwa sababu ofisi zao hawajafungua toka kipindi cha corona

Sihamasishi ila nawakumbusha madereva na pia wateja muweze kutumia njia mbadala kama kutumia mitandao mingine kama tantaxi,ping,little ride
 
Mkifanikiwa nitawasifu sana mkuu.

Mgomo unaohusisha watu wengi ambao wana malezi tofauti, tabia tofauti, shida tofauti na imani tofauti huwa kazi sana kufanikiwa. Utashangaa siku nyie mnagoma kutakuwa na wengine wako barabarani kama kawaida! Kila mtu ana shida zake mkuu, unaweza kujikuta wewe una uwezo wa kukaa siku 2 au 3 za mgomo bila kufanya kazi mwenzako ana mke mjamzito yuko hospitali anazichanga apate elfu 8 ya trip akanunue vifaa vya kujifungulia apeleke!

Mmejaribu kucheki na madereva wenzenu wa nchi zingine wa UBER wao makato yao yakoje? Maana wabongo kwa ulalamishi nasi hatujambo! Uber ni kampuni ya kimataifa inawezekana makato yao ni hivyo dunia nzima sasa kuwabadili mtachukua muda kidogo mkuu. Hata hivyo kwa biashara huria hii mkuu, kwanini mnahangaika kugoma, kama jamaa wanayeyeyusha si unatoka tu unaachana nao unasajili taxfie au ping au hizo zingine.
 
Sawa. Ila mkogoma mhakikishe napata usafiri wakati wowote nitakapowahitaji.

Siwezi kukosa usafiri kwa sababu ya mgomo wenu pamoja na kua naunga mkono mgomo wenu ingawa sijui mnagomea nini.
 
Kenya wametoka kugoma last week kwa sababu bei zinazidi kupungua na wamefanya hvo sehemu nyingi
 
Sawa. Ila mkogoma mhakikishe napata usafiri wakati wowote nitakapowahitaji.

Siwezi kukosa usafiri kwa sababu ya mgomo wenu pamoja na kua naunga mkono mgomo wenu ingawa sijui mnagomea nini.
Pakua app hizi ambazo zitafanya kazi kama kawaida

Tantax

Ping

Little ride

Moovin

Exicab

Quitax

Zote za hapa hapa tanzania
 
Napenda uber sana kwa sababu hata customer service yao ni ya kimataifa. Reclaim procedures zao ziko wazi zinaeleweka.

Mitandao ya kiswahili swahili mimi hapana.

Ndio maana hata kwenye simu natumia Vodacom kwa sababu ya customer service yao. Huwezi kunikuta tigo sijui halotel.

Sina imani na kampuni yoyote iliyotokea asia au hapa Afrika kwenye suala la huduma kwa wateja.
 
Napenda uber sana kwa sababu hata customer service yao ni ya kimaiataifa. Reclaim procedures zao ziko wazi zinaeleweka.

Mitandao ya kiswahili swahili mimi hapana.

Ndio maana hata kwenye simu natumia Vodacom kwa sababu ya customer service yao. Huwezi kunikuta tigo sijui halotel.

Sina imani na kampuni yoyote iliyotokea asia au hapa Afrika kwenye suala la huduma kwa wateja.
Jiandae kutembea kwa miguu
 
Napenda uber sana kwa sababu hata customer service yao ni ya kimataifa. Reclaim procedures zao ziko wazi zinaeleweka.

Mitandao ya kiswahili swahili mimi hapana.

Ndio maana hata kwenye simu natumia Vodacom kwa sababu ya customer service yao. Huwezi kunikuta tigo sijui halotel.

Sina imani na kampuni yoyote iliyotokea asia au hapa Afrika kwenye suala la huduma kwa wateja.
Unakua na jeur hvo akat ni maskin wa kutupa...hii ni africa...mtu mwenyew unatumia uber...unalipa elf3.kama una jeur nenda kituo cha mafuta jaza mafuta endesha gar...ukiwa maskin usiwe jeur hvo...

Usipowezesha kampun za africa utawezesha nin sasA..bogus kabisa
 
Yaani we umegoma ila wenzio wanapiga hela tena ndio itakua faida kwao kwasababu watakua wachache.
 
Unakua na jeur hvo akat ni maskin wa kutupa...hii ni africa...mtu mwenyew unatumia uber...unalipa elf3.kama una jeur nenda kituo cha mafuta jaza mafuta endesha gar...ukiwa maskin usiwe jeur hvo...

Usipowezesha kampun za africa utawezesha nin sasA..bogus kabisa
Tena bogus kbs asubiri hao uber wampeleke kwa magari yao
 
Unakua na jeur hvo akat ni maskin wa kutupa...hii ni africa...mtu mwenyew unatumia uber...unalipa elf3.kama una jeur nenda kituo cha mafuta jaza mafuta endesha gar...ukiwa maskin usiwe jeur hvo...

Usipowezesha kampun za africa utawezesha nin sasA..bogus kabisa
Umasikini haukufanyi uwe masikini hadi kwenye uchaguzi.

Sasa wewe ni masikini kwa kila kitu hadi akili.

Ni mambo ya kusikitisha kwa kweli. Yaani wewe kwa kua ni masikini basi kila kitu kwako kiko sawa. Hata nikikuomba nikupige pipe utakubali tu kwa kua wewe ni masikini.

Jambo lingine sio kila anaetumia uber hana gari. Kwa akili yako ya kimasikini mtu akitumia uber hana gari.

Ndio maana ccm wataendelea kutawala hii nchi kwa sababu wana uhakika wametengeneza umasikini wa wapiga kura wao hadi kwenye akili.

Kaziwezeshe wewe mama, tusipangiane maisha mama angu.
 
Back
Top Bottom