NALO LITAPITA
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 333
- 90
hivi huyu kibonde anaishi dunia ipi, nimetamani kuizima radio yangu kutokana na maneno yake ya kipuuzi. Anadai eti kugoma kwao madaktari ni utovu wa nidhamu kwa waziri mkuu mpaka wenzake akina Mwabulambo na Kayanda wanamshangaa
Kwa lugha ya kwetu(isiyo rasmi lakn) kibonde ni mtu mwenye akili finyu,....anyway hata yeye analijua hilo maake kwetu ku_moja,...shame on him
Hivi CV ya huyu mtu ipoje,maana watu wasije comment kumbe mtu yenyewe ubonge wake haujakomma.Mwenye CV ya Kibonde,tafadhali aiweke hapa.
Kibonde ni nani?,katokea wapi?, Imekuwaje kuwaje hadi awe mtangazaji Clouds?
Huyu kibonde c ni shoga, yeye kwasababu analelewa na ruge kwa kupiga umbeya unadhani analipi la kusema zaidi ya upupu tu? Akawe yeye basi daktari ili asigome, kwani alitumwa akimbie math, phy na bios na kwenda kusomea huo udaku wake anaouleta sasa. Poor kibonde , poor clouds fm.
[/QU Ndugu! It is unfortunate watu wanamsikiliza huyu kilaza,elimu yake ya kubabaisha babaisha haitoshi kujadili mambo anavamia tu! Unfortunately further,anayo mic kama silaha yake,angesoma kwa ufasaha asinge-bore wasikilizaji wake,kwa vile anauza sura na kupaja visenti anadhani anaweza kupiga kelele, professionalism ni kitu kingine
hivi huyu kibonde anaishi dunia ipi, nimetamani kuizima radio yangu kutokana na maneno yake ya kipuuzi. Anadai eti kugoma kwao madaktari ni utovu wa nidhamu kwa waziri mkuu mpaka wenzake akina Mwabulambo na Kayanda wanamshangaa
Wewe ndo unasema anaugua mimi nimetoa tahadhari tu kuwa Ukimwi mbaya sana