Mgomo wa madaktari ni utovu wa nidhamu - Kibonde wa clouds FM

Kibonde kweli anawakosesha raha nyie watu! Kibaya zaidi hamuwezi kufanya lolote zaidi ya kulialia na kumpaisha kwa kumuanzishia sredi kila kukicha.
 
hivi j2 ni siku ya kazi?
inakuwaje waziri mkuu hakusubiri leo ndio awaitishe kikao?
alidhani hao madaktari hawana familia?? amejuaje kama walipata habari za huo wito siku ya mapunziko?
tunaelewa madai yao ni ya msingi lkn serikali ikae nao kama social dialogue wafikie muafaka
walau kwa kiasi fulani.
Kibonde sina cha kumsema manake namfahamu fika upeo wake,nkiandika hapa ntapigwa burn.
 
Mkuu mboma unalazimisha tukubali unachokiamini!? Me binafsi nimekutana nayo wakati natafuta kiss fm,niliposikia issue ya ma docta ikabidi nisikilizie,yaani jamaa anaongea pumba sana! Na wasiwasi na elimu yake!

Sasa naamini clouds fm chaguo la wengi humu JF
 
madactari aluta continua.....acheni hilo lipuuzi liendelee kuvuvuzela kwa hela za madafu anazolipwa hapo clouds,atabwabwaja leo watu watamuanzishia thread hapa JF,lilivyo jinga litajiona liko on top...baada ya siku mbiili tutalisahau......lilivyo ***** litahangaika kutafuta ishu ya kuwakera watanzania tena,kama lina minyoo vile......hovyooooo.......we are behind you madaktari mpaka kieleweke!
 
Hahaha! Umenikumbusha nikiwa kiddo tulikua tunaambiwa ukiwa mtoto m'baya ukienda hospitali wanakuchoma na sindano ya ng'ombe, I innocently believed aisee!
Ila usijali, mie muhudumu wa hoteli, nitamjazia pilipili apige chafya kama mbuzi!
jamaa kama hawa zamani ungeingilia masuala nyeti kama haya siku ukienda madaktari wanakuchoma sindano ya sumu ili kupunguza usumbufu katika maisha maana watu wengine ni mizigo. Sijui hayo mambo bado yapo siku hizi!
 
Aombe mungu asiugue. watamchoma sindano iliyojaa maji badala ya dawa. Najua kwa vijicents vyake vya Clouds atakuwa ni mtu wa Aga Khan lakini hawa Aga Khan wakizidiwa mambo wanaishia 'Mtakuja/Muhimbili. Kama haamini arejee saga ya Zitto, malaria iligundulika wapi? Vipimo Aga Khan mgogoro!
 
Hivi mnasahau kuwa huyu bwana huvaa rangi ya kijani? Hamkuona siku CCM ilipokuwa inazindua mtandao wa mchango wake wa uchaguzi mwaka jana??
Halafu watu walioanza kumzarau waziri mkuu wetu si hawa madaktari, wa kwanza kabisa kuwasikia ni wafanya biashara ya sukari. Mpaka leo hii sukari haiuzwa kwa bei iliyotangazwa na hata raisi mwenyewe.
IWE AJABU KWA MADAKTARI!!!!!!!
 
Kibonde yuko Sawa, wanagoma then wanaachia, wamekosa ujasiri, kifo ni halali yao.
 
hivi huyu kibonde anaishi dunia ipi, nimetamani kuizima radio yangu kutokana na maneno yake ya kipuuzi. Anadai eti kugoma kwao madaktari ni utovu wa nidhamu kwa waziri mkuu mpaka wenzake akina Mwabulambo na Kayanda wanamshangaa

Umejuaje wenzake wamemshangaa?

Anyway Kibonde ni kibonde kwelikweli!!!
 
ARVs zinamchanganya akili ndo maana anakuwa anaongea kama mwehu
 
Hivi CV ya huyu mtu ipoje,maana watu wasije comment kumbe mtu yenyewe ubonge wake haujakomma.Mwenye CV ya Kibonde,tafadhali aiweke hapa.
Kibonde ni nani?,katokea wapi?, Imekuwaje kuwaje hadi awe mtangazaji Clouds?

mkuu CV yake ipo hapa hapa jamvini ishawekwa kitambo kidogo.
Huyu jamaa hajapata hata D moja.

Msimlaumu anafikiria kwa kutumia DIDAS
 
Huyu kibonde c ni shoga, yeye kwasababu analelewa na ruge kwa kupiga umbeya unadhani analipi la kusema zaidi ya upupu tu? Akawe yeye basi daktari ili asigome, kwani alitumwa akimbie math, phy na bios na kwenda kusomea huo udaku wake anaouleta sasa. Poor kibonde , poor clouds fm.


Hakuna alichosomea huyu bwana!!

Hana cheti chochote!!! Amejifunza utangazaji on the job, yaani on the job training.

Alimaliza fomu foo bila kitu kabisa!!
 
Wakuu kwanza nitangaze interest nimemsikia huyu kibogoyo (kibonde) kwa bahati mbaya tu nilikua kwenye daladala!
Huyu ni mpumbavu sana hivi anasema ma dr hawana akili je anaweza kujilinganisha na dr yeyote kati ya hao?

Ni watu na elimu zao, asifikiri yeye mwenye elimu ya kuungaunga nasikia pia uandishi huo wa habari kasomea kile chuo cha buguruni.sasa wenzake wote wana vyeti asifikiri ni walamba viatu kama yeye!

Alafu ni kama kizazi chake kimelaaniwa vile kuna mtoto wake anaitwa fabian ephraim kibonde ameshalist form 4 mara tatu na kila mara amekuwa akiambulia f tu (unaweza kugugo jina hilo)sasa huyu jamaa anaitaji asikiwe na watawala walau apewe kukata nyasi pale magogoni.
 
Huyo Kibonde ni kati ya watanzania wapumbavu tulio nao katika kizazi hiki cha sasa. Hivi anafikiri madaktari ni kama madereva wa daladala? Yeye akiugua anatibiwa wapi? Au na yeye anaenda kutibiwa India? Kibonde anajulikana kwa watanzania walio wengi na hasa wakazi wa Dar wakiwemo madaktari. Hiyo statement yake madakatari wameisikia au kupitia radio au kwa kusoma hapa JF. Akiugua ataenda kutibiwa wapi kwani madaktari wale wale wa muhimbili ndio hao hao wanaotoa huduma kwenye hospitali binafsi vile vile. Si wataamua kumpotezea?

Huyu akili yake ni finyu kupita kiasi!!!!! Anatukana mamba kabla ya kuvuka mto.

Tiba
 
Back
Top Bottom