kinabo ndo mkurugenzi wa manispaa ya MOSHI na mara nyingi anapenda kuongeza ushuru wa masokoni, daladala/ stendi kibabe bila kuangalia hali halisi, mwisho wake anasababisha migomo na uvunjifu wa amanimkono wa CHADEMA
Ndugu wana JF nauanzisha uzi huu mahususi kuzungumzia suala la mgomo wa DALADALA hapa MO town, je kuna mkono wa mtu? Naomba kuwasilisha