Mgomo wa daladala moshi kuna mkono wa nani?

Mtabe

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
675
96
Ndugu wana JF nauanzisha uzi huu mahususi kuzungumzia suala la mgomo wa DALADALA hapa MO town, je kuna mkono wa mtu? Naomba kuwasilisha
 
asee mangi mnagomea nini tena arawa,si watu watachelewa kutafuta ngawira
 
Nimepata shida kweli leo imenibidi ni kamate bodaboda fasta ni wahi mambo yangu
 
Jana Arusha route ya Town - Usa-River nayo ilipwaya, kuna namna hapa.

Kinabo & Company
 
Ndugu wana JF nauanzisha uzi huu mahususi kuzungumzia suala la mgomo wa DALADALA hapa MO town, je kuna mkono wa mtu? Naomba kuwasilisha

Maana yake hii hapa,MOSHI-M-MUNGU,O-ONESHA,S-SEHEMU,H-HELA,I-ILIPO.POLENI WAJOMBA ZANGU!BWASHEEE!!YESUUUU!NA MARIA!!!
 
Back
Top Bottom