Jackson Turary
Senior Member
- Jan 1, 2014
- 183
- 156
Hilo ndo tatizo la wanyonge wanavurugwa vurugwa kama maandazi kikangoni,Watendaji na wapangaji wa haya mambo sijui huwa wanafikiria vitu gani au kwa sababu wao hawatumii huu usafiri wa uma ndio maana hawazingatii athari kwa walaji.
Pale kivukoni ndio center kubwa ambayo watu kutoka viunga vyote vya kigamboni huletwa na mabasi kisha baada ya hapo wavuke kwenda mjini au wapande hizo machinga kupitia darajani, sasa leo unapohamisha basi za machinga na kuzipeleka ndani ya mji wakati bado kituo kikuu cha hizi basi nyingine kinabaki kuwa kivukoni hapo unakua unawalazimisha abiria wanaotaka kuvuka kupitia darajani wapande bajaj (Tsh 500) ili kuzifata hizo machinga huko Tungi na baadae alipe tena kiasi hicho hicho anapokua anarudi.
Kwa mtu wa kipato cha chini nyongeza hii ktk gharama ya usafiri ni kubwa, mamlaka husika inabidi walitazame vizuri ili maboresho wanayofanya yasiumize watumiaji wa huduma husika.
Wacha watu waonyeshe matatizo yao mbalimbali kwa uwazi ili wahusika watafute ufumbuzi wa kudumu utakao nufaisha pande zote.Tabia ya uko nyuma serikali yakutotaka matatizo yasemwe kwa uwazi na kuyaficha kwa ubabe haikuyafanya matatizo hayo yaondoke badala yakuyafunika kwa muda.Nchi inarudi kwenye migomo? Iringa wamegoma mwezi uliopita, Mbeya wamegoma juzi, leo hii tena jijin huko duuu.
aaaaahaaa ugolwe kwetusogolye kwe kuko.wasilete mazoe ,kwasababu likigeuzwa KIUCHUMI SIASa ...habari imeisha ,China watafte soko isiwe zinamwagika bongo kama njugu ,somalia huko hawaoni soko ,aaahaIringa na Mbeya ni mfano mzuri!
HII PICHA SI YA KIGAMBONILeo Tar 20 May 2021 kuanzia Majira ya Asbuhi Magari ya Abiria maarufu kama Daladala Yaendayo Kigamboni Kupitia Daraja kuu la Kigamboni (Mwl.Nyerere) Yamegoma kufanya Safari zake kutoka Kigamboni hadi Karume Ilala kupitia Kilwa Road.
Sababu ni Kupinga kuhamishwa kwa Kituo kikuu cha Mabasi hayo kutoka Ferry Kivukoni hadi Kata ya Tungi. Abiria /Wananchi wengi wanapata Tabu sana muda huu.
Pia njia ya Mji Mwema kuelekea PembaMnazi wamegoma.
Miaka mitano na ushee ya JPM haya yalikuwa historia.Leo Tar 20 May 2021 kuanzia Majira ya Asbuhi Magari ya Abiria maarufu kama Daladala Yaendayo Kigamboni Kupitia Daraja kuu la Kigamboni (Mwl.Nyerere) Yamegoma kufanya Safari zake kutoka Kigamboni hadi Karume Ilala kupitia Kilwa Road.
Sababu ni Kupinga kuhamishwa kwa Kituo kikuu cha Mabasi hayo kutoka Ferry Kivukoni hadi Kata ya Tungi. Abiria /Wananchi wengi wanapata Tabu sana muda huu.
Pia njia ya Mji Mwema kuelekea PembaMnazi wamegoma.
Kwely ukipenda chongo utaita kengeza, ayo yanaitwa mahaba niueeMiaka mitano na ushee ya JPM haya yalikuwa historia.
Nchi inarudi kwenye migomo? Iringa wamegoma mwezi uliopita, Mbeya wamegoma juzi, leo hii tena jijin huko duuu.
Kabisa aisee... tuliona wakulima wa korosho na wafanyabiashara ya mafuta ya kula walivyoongeza bidhaa sokoni!!Miaka mitano na ushee ya JPM haya yalikuwa historia.
SAmia : "Sijaribiwi"Leo Tar 20 May 2021 kuanzia Majira ya Asbuhi Magari ya Abiria maarufu kama Daladala Yaendayo Kigamboni Kupitia Daraja kuu la Kigamboni (Mwl.Nyerere) Yamegoma kufanya Safari zake kutoka Kigamboni hadi Karume Ilala kupitia Kilwa Road.
Sababu ni Kupinga kuhamishwa kwa Kituo kikuu cha Mabasi hayo kutoka Ferry Kivukoni hadi Kata ya Tungi. Abiria /Wananchi wengi wanapata Tabu sana muda huu.
Pia njia ya Mji Mwema kuelekea PembaMnazi wamegoma.
Sukari ilitoka 1400 hadi 2400 na ikasemwa bei imeshuka!! Bado mazwazwa yakashangilia na kuona "wanyonge wametetewa!!" Akili za kidanganyika tunazijua wenyewe...SAmia : "Sijaribiwi"
Abiria wa Mbagala Zakhem kupitia Vikunai, Mgeni nani -chekechea nao wagome, wanalipishwa nauli 500 sehemu waliyopaswa kulipa 300.
Ndio maana wameanzisha shue za kata na wakasema kiswahili ni lugha ya kimataifa huku wanyonge wakishangilia kwa vifijo , wakati watoto wetu wanasoma international school kuja kuwatawala mazwazwa milele.Sukari ilitoka 1400 hadi 2400 na ikasemwa bei imeshuka!! Bado mazwazwa yakashangilia na kuona "wanyonge wametetewa!!" Akili za kidanganyika tunazijua wenyewe...