Mgomo vyuoni: Chuo cha st. John dodoma chafungwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo vyuoni: Chuo cha st. John dodoma chafungwa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kibunda, Dec 21, 2011.

 1. k

  kibunda JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Lile lindi la migomo vyuoni linaendelea. Leo chuo Kikuu cha St. Johns (zamnia Mazengo secondari) kimefungwa baada ya kuwa na mgomo baridi kwa muda sasa. Kimefungwa hadi tarehe 2/1/2012.

  Source: ITV Breaking News!
   
 2. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nadhani itakuwa ni likizo tu hiyo ya kiujanjaujanja, haiwezekani chuo kifungwe wiki mbili tu kwa ajili ya mgomo!!
   
 3. a

  ammah JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  huko ni kufungwa au wamepewa likizo
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Sa huo nao ni mgomo kweli?
   
 5. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  likizo ya kawaida wakuu!
   
 6. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,135
  Likes Received: 3,327
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni likizo ya krismas na mwaka mpya! Siyo Mgomo huo!
   
 7. Nyaluhusa87

  Nyaluhusa87 JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,288
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  acha utani wewe,tokea lini chuo kifungwe kwa muda wa wk 2 kisa mgomo? Kwa mgomo mnafunga kwa muda ucojulikana!Mi nadhani hiyo itakuwa likizo ya hizi ckukuu za x-mas na mwaka mpya.
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  ungependa kifungwe siku ngapi?
   
 9. T

  The Priest JF-Expert Member

  #9
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wameona wafunge 2 chuo!baada ya hilo sakata lakn kamgomo kenyw kadg!
   
 10. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #10
  Dec 21, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Hawa hata wakigoma hawana impact yoyote kwa taifa.
   
 11. Nyaluhusa87

  Nyaluhusa87 JF-Expert Member

  #11
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,288
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Until further notice...
   
 12. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #12
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndo mara ya kwanza kusikia chuo kimefungwa kwa mgomo af mnaambiwa lini kinafunguliwa, kawaida huwa kinafungwa ila haijulikani muda wa kufunguliwa..
   
 13. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #13
  Dec 21, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hayo mauzauza hope ni likzo
   
Loading...