Mgomo unanukia chuo kikuu huria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo unanukia chuo kikuu huria

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MADORO, Dec 19, 2011.

 1. M

  MADORO Senior Member

  #1
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wanafunzi wa Chuo Kikuu huria cha Tanzania Makao Makuu, Kinondoni Dar es salaam, wameziba mlango wa kutokea wa block D, ambayo yaonekana ndilo jengo la utawala wanadai mikopo, wanasema hawaondoki mlangoni mpaka kieleweke. Viongozi wanaohusika na jambo hilo wamefika kuongea nao lakini walikuwa wanatoa majibu mepesi, hivyo wanafunzi wapo kimtazamo wa kuanzisha timbwili. Nimeondoka pale walio karibu waendelee kutujuza. Ila hadi naondoka FFU hawakuwepo ila mgambo wa Chuo walikuwa wanalinda viongozi.
   
 2. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #2
  Dec 19, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Chuo kikuu huria na mgomo wapi na wapi!
   
 3. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #3
  Dec 19, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Tolly mbwete vipi ,nakiheshimu sana hicho chuo.
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Dec 19, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Hao nao kumbe huwa wanalambwa boom?
   
 5. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #5
  Dec 19, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 802
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Mzee wa "certificate of sociology" ulikuwa ujui km nao wanalamba boom
   
Loading...