Mgomo UDSM, Mabibo hostel

Mgomo UDSM, Mabibo hostel

10000

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
837
Reaction score
781
Ni masaa 35 sasa tangu umeme umekatika hapa mabibo hostel, vijana wamekusanyika hapa block G tangu jioni kujadili nini cha kufanya. TANESCO tafadhali msichafue hali ya chuo chetu. Mungu ibariki TANGANYIKA.

Baada ya kash kash mnamo saa 00:15 usiku umeme umerudishwa mabibo na wimbo wa taifa unaimbwa ili watu wakasome.
.....
sSa 00:32 umeme umekatwa tena na wanafunzi wanaanza kujimobilize upyaaa

........
Kama kanyamazongo za movie vile, saa 00:48 wamerudisha tena
 
Wapigwe tu kwani kwao walipotoka kuna umeme ,maskini akipata ------ hulia mbwata, idiot
 
wapigwe tu kwani kwao walipotoka kuna umeme ,maskini akipata ------ hulia mbwata.idiot

wanaoishi hapa ni wanafunzi kazi yao ni kusoma, na chuo kiko kwenye mitihani tupigwe tu ili umeme urudi inshalah
 
Nunue taa za kucharge au za mchina za battery. ..
 
Tumbaku zenu mmejua kuvaa suruali za dada zenu mnasumbua tutawarudisha vijijini


Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
wanaoishi hapa ni wanafunzi kazi yao ni kusoma, na chuo kiko kwenye mitihani tupigwe tu ili umeme urudi inshalah

walipofaulu kutoka huko advance, kulikua kuna umeme? Mfano kigonsela.
 
Mnahamu ya migomo hee! acheni hizo nyie madogo, wenzenu wanagoma kwa issues za maana. kwani mulipotoka kigonsera,malangali,.....n.k kulikuwa na umeme? mbona mmefauli mpaka mmeweza kuja udsm!! msisumbue wa2 km huwezi rudi kwenu ukalime Eboooh!
 
Yani mmetoka nje ya hostel mmekusanyika nje mnasema mgomo. Mnagomea nani sasa? Hebu pandeni room mkalale huko.
 
Mbona waliosoma na vijinga vya moto hawaandamani? Au nyie ndio kina nani.
 
Tumbaku zenu mmejua kuvaa suruali za dada zenu mnasumbua tutawarudisha vijijini Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Acha kuimba taarabu wewe! hii ni hoja ya msingi halafu mwaleta chuki binafsi zenu!!
 
Wapuuuuuz wakubwa nyie wasemaj wenu wakuuu wameukuta umeme ubungo pale nao mwajfanya kugoma nn asasaa,mnapewa boom y msinunue taaa za kuchaj for emergenc?????! Mmelaaaniwa sijui kizaz cha mwinyi hk matatzo matupu
 
Hawa vijana wetu mbona hatuwaoni kwenye mambo yanayohusu taifa zima?
 
Sasa hata wakiandamana itasaidia nn,umeme si kwamba umekatika bure itakua ni hitilafu,wakiuacha bila marekebisho pia msingeelewa,mnatakaje,kwani mkigoma ni kwa faida ya nani?mitihani mnafanya ucku?khaaaaaa!
 
Heheh block G...kama napaona vile...acheni uduwanzi nyie chuo pipo,cha msingi someni mchana..

Ndo yaleyale hata shuttle za hostel walikuwaga wanataka zipewe special favour kwenye folen et kisa wanawahi darasani,WTF....kwani watanzania wenzenu hawana haraka,kwani na wao hawaupendi umeme?

Af wagomaji wengi ni wale wanaotoka sitimbi na mikoani huko,na umeme makwao hamna,..
 
Kimenuka polis wamefyatua risas zaid 10 ili kuwatawanya wanafunzi mandela road
 
Nahc kuna wafu humu jf! hv m2 na akili zake analinganisha umuhimu wa umeme kwa secondary na chuo kikuu? anyway, sio kosa lenu. chini ya 20% ya walioanza primary ndio hufanikiwa kufika chuo kikuu!
 
Back
Top Bottom