Mgomo mkubwa UDSM.

Wakuu mliepo eneo hilo tupeni updates nn kimeendelea mpaka sasa?

Update Gani hapo. Ninavyowajua hawa watoto wa chuo. Wakitokea askari wote mbio na wanaanza kulia.
Hakuna vijana wajasiri hapo chuo. Enzi zetu pangekuwa hapatoshi, sio hao masharobaro wa siku hizi.
 
Hawa vijana kila mitihani ikikaribia wanabuni KUNJI? Bora Chuo kifungwe waje mtaani waone tunavyohangaika kutafuta mlo wa siku 1
 
Wanachuo someni alama za nyakati,migomo haina ishu siku hizi,mtaishia kupigwa na wale jamaa wa darasa la saba la shule za kata(FFU).Wenzenu siku hizi wanaomba kuonana na JK ikulu,au nyie hampendi zile juice na chai kama Magwanda na Wazenji?
 
ukweli ni kwamba tunachukua boom hapa auxiliary police kwa sasa. Chenginewe ni swala la walipewa suspension ambapo mi kwa mtazamo wangu ni bora hao watu wakaandika kuomba kurudishwa badala ya kufanya vurugu zisizokuwa na msingi. Ninachoamini kwa matamshi ya JK siku ya Uhuru pale Ikulu kwamba hawatafanya maamuzi kwa shinikizo ni wazi kwamba tutaishia kwenda home kwa nauli tunazopewa na boom la pili ila tukirudi ni njaa mtindo mmoja. Hao kina kijicho wanatudanganya wakati walipiga magoti kuomba msahamaha mbele ya displinary committee na dada nilimhusudu kama mpambanaji yeye kabisa alikana hakuhusika na mapambano yale na kudhiriki kuapia kwamba hata video clips zinazomwonesha yeye kuwa siye yeye kwa hapo alitusaliti. Hivyo ni vyema tuwashauri kupitia DARUSO hata kama hawaitaki wajaribu kujipanga upya ama la chuo kifungwe mpaka watakaporudi ila kwa tahadhari tu ni kwamba suspension ni study days ndiyo zinahesabiwa na siyo likizo.
 
wewe jamaa ni mnafiki sijapata kuona.
Waombe?
Wamuombe nani?
Waombe nini?
Kwa sababu gani?
Mpuuzi mkubwa wewe, juzi ulijifanya unasoma IKS, jana ukadai ulikuwepo mgomo wa 2008 na leo unadai unachukua boom auxiliary.
Toa uzandiki wako hapa! By the way, kijana anaitwa Baraka na sio 'kijicho', ingekuwa walipiga magoti kama unavyodai leo wasingezungumza mbele ya halaiki, tena utawala. Najua imekuuma, ila ndo washarudi masomoni ivo!
Laana ya kumsaliti babako na mamako maskini kwa ajili ya hao wenye inji itakutafuna milele kibaraka wewe!
 
Jamani mliopo huko mwl nyerere kampas mtupe updates maana kama ni ule msimamo uliotangazwa juzi usiku pale mabibo hostel ukiendelea hatimaye kibaraka mukandara atatia adabu mwaka huu.
 
tunajitahidi mkuu.
Ila naona Mabulang'ati anataka kuchafua hali ya hewa...
 
Back
Top Bottom