Mgomo mkubwa UDSM. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo mkubwa UDSM.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mphamvu, Dec 12, 2011.

 1. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #1
  Dec 12, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Ni kuhusu haki ya wanafunzi waliofukuzwa na hatma ya fedha ya kujikimu.
  Chezo limeanza mida ya saa 4 hivi, FFU wametanda eneo la chuo tayari kuwapiga mabomu wanafunzi.
  Source: niko eneo la tukio
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Mwanaharakati, kwa jina Al-Shaabab anatoa route kwa wana-UDSM. It's really gonna happen today...
   
 3. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #3
  Dec 12, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Wanafunzi wa CoET(zamani FoE) wamepanda huku juu kujiunga na wenzao.
  Kwa sasa halaiki ya wasomi ipo utawala. EmocĂ­on ni nyingi sana hii leo...
   
 4. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #4
  Dec 12, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,378
  Trophy Points: 280
  Aisee, kumbe? mimi nipo mabibo mida hii. Hebu ngoja nije huko niliunge. Maana leo sina pindi mpaka saa 1 usiku.
   
 5. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #5
  Dec 12, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Amsha amsha ni kubwa.
  Maraia wamedai kama wenzao hawarudi ni bora tukaenda wote nyumbani...
   
 6. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #6
  Dec 12, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  njoo kaka.
  Kumependeza ile mbaya... Watu wamesema kama chuo kimeridhia polisi kuja chuoni kulinda usalama wasishangae kusikia polisi ameuwawa.
   
 7. d

  daydream believer Member

  #7
  Dec 12, 2011
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kazeni but broo,hii NCHI
  ndivyo inavyotaka,wanaJF 2ko pamoko sana endelea kutupa UPDATES...........,
   
 8. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #8
  Dec 12, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,973
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Elimu haijawakomboa nyie.
   
 9. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #9
  Dec 12, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  msijali.
  Wanaharakati wa CoET wanatoa modality sasa.
  Kamati ndogo imetumwa kuenda kuwaita wenye uhai watatu i.e. Mabhoko, Mgaya na Mukandala...
  Naona hawajafika mpaka wa sasa!
   
 10. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #10
  Dec 12, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  kiungo cha uzazi cha mzazio wa kike.
  Kama hapakufai unapiga kimya...
   
 11. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #11
  Dec 12, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,454
  Likes Received: 7,220
  Trophy Points: 280
  Wanafunzi wameishiwa aisee,sasa mkirudishwa home nauli mtatoa wapi?
   
 12. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #12
  Dec 12, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,378
  Trophy Points: 280
  nisisubiri kuhadithiwa..... Nipo njiani sasa, tayari nina chupa ya maji hapa nilipo. Sitaki mchezo.
   
 13. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #13
  Dec 12, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Khaaaa! sasa Mama yake anahusika nini hapa jamani, aisee!
   
 14. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #14
  Dec 12, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,378
  Trophy Points: 280
  we huna akili ni outdates zako za kizee. Ndio maana uliDISKO!
   
 15. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #15
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  huku coet hakuna pindi linaloendela. my take. wasipopewa pesa leo hapatafaa kesho hapa mlimani.
   
 16. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #16
  Dec 12, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hivi wewe umesoma wapi wewe!!

  Hovyo kabisa!!
   
 17. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #17
  Dec 12, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wamekwambia hawana nauli?
  wao wanasema hawana fedha za kujikimu!
   
 18. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #18
  Dec 12, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Sasa nyie madogo mkikimbizwa tena hovyo hovyo kama last time tusiwaone humu na ma-issue yenu ya mgomo.
  juzi mmesema mnafanya mazoezi na kkupeana mbinu za kupambana na alshabaab aka ffu kama wakija kuwaletea ngebe.

  Sasa tunangoja, mkileta fujo bila sababu za msingi mtakuwa mmejipunguzia heshima mbele ya jamii,
  Ila ffu wakija kuwapiga kwasababu mmeamua kukusanyika ndani ya chuo ku-discuss maslahi na kero, basi watungueni hao.
   
 19. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #19
  Dec 12, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,454
  Likes Received: 7,220
  Trophy Points: 280
  hawana pesa za kujikimu ndo nauli wanazo?
   
 20. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #20
  Dec 12, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,973
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  kumbe nilidisco. Hili gamba nimelipatia wapi?. Au nimenunua cheti?. We soma uje huku uraiani!.
   
Loading...