Mgomo mgodi wa Barrick | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo mgodi wa Barrick

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Infopaedia, Nov 12, 2011.

 1. Infopaedia

  Infopaedia JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 903
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 80
  Jana na leo kulikuwa na mgomo wa wafanyakazi wa chini ya ardhi katika mgodi wa Barrick Bulyanhulu. Chanzo cha mgomo ni wafanyakazi hao kutaka kuongea na meneja mgodi Bwana Denis Hoof ili wamueleze matatizo yao ya msilahi na kutaka maelezo juu ya kudhoofishwa kwa chama cha wafanyakazi mgodini hapo. Baada ya kuvutana toka jana asubuhi, hatimaye leo asubuhi meneja mgodi alionana na wafanyakazi na kuongea nao. Wafanyakazi wa chini ya ardhi ambao kimsingi ndiyo wachimbaji wa dhahabu, wamerejea kazini huku wakisubiri matokeo ya malalamiko yao.
  Source: Muajiriwa wa Bulyanhulu.
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  bado buzwagi..kuna kimeneja sijui kilijuwa kipishi ulaya kinajiita dr richard ni matapishi matupu na kazi yake ni kukandamiza wananchi hasa wanaodai kudhulumiwa fidia za ardhi yao
   
 3. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Me nadhani umefika wakati sasa wa kulipiza kisasi,wao walitunyanyasa kama watumwa enzi zile leo tuna uhuru etu wa kifikra na kila kitu.

  Kamata wazungu chapa bakora rudisha kwao. Tumechoka
   
 4. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sasa wamerudi kazini baada ya kuahidiwa nini?
   
 5. Fullfigadiva J

  Fullfigadiva J Member

  #5
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poleni wana Kakola na Bugarama. Kuna uozo mkubwa katika Kampuni ya Barrick juu ya haki na maslahi ya watanzania. Siku si nyingi nitamfikishia Mheshimiwa waziri Vuai vielelezo vya ukiukwaji wa sheria za Kazi zinazofanywa na Barrick, Migodi yao yote ni kwanini hakuna Organiztional Effectiveness manager wakati wasouth kaburu wanaoletwa kushika nafsi hizi wengine wana High national diploma tuu, Guilds diploma etc. Kada ya management ni kwa nini wanaleta makaburu wasio na elimu, Kampeni yao sasa hata wamarekani, waaustralia, wanaondolewa na makaburu. Bila kujali elimu za watu wanaowaleta hapo Buzwagi alikuwepo Human resource manager akiitwa Miriam alikuwa ni secretary by proffession na vyeti. Lazima wabadilike hatutaki wageni kisa makaburu hawajasoma, wabaguzi na waonevu na dharau juu. Huu ni wakati wa mabadiliko tushachoka. Uhamiaji msifanye kazi kwa mazoea.
   
 6. Infopaedia

  Infopaedia JF-Expert Member

  #6
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 903
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 80
  Baada ya meneja kuonyesha nyingi ya kero zinazoelezwa kwake ni mpya, hivyo anahitaji muda kuzifuatilia na kutowa majibu. Pia alikubali mawasiliano kati ya yeye na nguvukazi (wafanyakazi) ni hafifu. Hivyo akaahidi kuanzia sasa mawasiliano yatakuwa yakifanyika moja kwa moja kiti yake na wafanyakazi bila kupitia channels nyingine.
   
 7. Infopaedia

  Infopaedia JF-Expert Member

  #7
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 903
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 80
  Unayosema ni kweli mkuu. Exparts wanaoletwa Barrick hivi sasa toka South Africa ni Exparts wa rangi na utaifa tu. Si exparts kwa maana ya ujuzi. Na wanalipwa pesa ambazo ukitajiwa kisukari kinaweza kikapanda. This is disgusting:smash:. Makaburu wakifika, wana-campaign kuwaondowa Canadians :canada:and Australians. And this is simply because ABG headquater is in South Africa. Disgust!!!:hatari:
   
 8. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #8
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Hakuna haja ya kuwaeleza viongozi wa serikali, hapo ni kutafuta njia mbadala ya kuwafanya hao jamaa waelewe kuwa haki ni mhimu kutendeka!!. Kumbukeni viongozi ndo wanaokula hiyo hela mnayostahili kulipwa kwa kupewa 10% nk, hivyo dawa yao ni mgomo kwenda mbele, hakuna kutoka mtu kazini nikimaanisha hajiuzuru mtu ila kupambana na hao ma-HR wa kibongo.
   
 9. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #9
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  I rejected the offer at Buli 2 times as an Instrumentation Engineer, baadae tena Buzwagi nako nikakataa, mshahara mdogo bado wakakupigisha kazi 12hours bila kuwa na access ya some basic needs kama informations for almost muda wote wa kazi, bado kazi unayofanya haiko relevant na payement!! Only in Africa/Tanzania such a working style can exist. Mtu anakuja nchini mwetu, harafu atunyanyase Lol, hapo ndo jamii yetu inaponipa shida wakati wa kuamua nani awe kiongozi.
   
 10. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #10
  Nov 12, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ahaaaaa..................na baaaaado
   
 11. B

  Babu Ubwete Senior Member

  #11
  Nov 12, 2011
  Joined: Jan 26, 2008
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naungana na wachangiaji wote. Nimesikia kwamba ndg. Teweli ameacha kazi ABG kwa jinsi navyowafahamu makaburu nafasi ile atapewa makaburu na kina Blandina ndio watakuwa wanaonekana kwenye press conferences. Uongozi wa Barrick wakitanzania pia ni mamluki wako pale kimaslahi yao na ndio mzee. Nadhani ndg Mwanyika ni CEO ambaye hana maamuzi yake binafsi.
   
 12. bhageshi

  bhageshi JF-Expert Member

  #12
  Nov 12, 2011
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 264
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Foreigners working in mines are just expatriates and Not experts
   
 13. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #13
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ipo siku tutakuja pata viongozi wenye uchungu na madini yetu!
  Wakati mnalipwa chenji kuna watu wanavuta on your behalf ela ya maana
  Hao soln ni mgomo throughout
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Migomo na maandamano Tanzania hayahishi hatua zinazochukuliwa na serikali hatuzioni, je wanataka nchi iende wapi?
   
Loading...