Hali ya mikopo imechukua sura mpya.wanafunzi wamebandikwa madeni bodi inadai bajeti imeshapita.lakini fedha za wanafunz hazikulipwa.wanafunzi wanaelekea bodi sasa kuomba ufafanuzi.
wanafunzi mwaka wa 3 wamegundua wanadaiwa mapesa ambayo walipaswa kuwa wamelipiwa na bodi ya mikopo.bodi wanasema bajeti imepita,lakini watu waliopaswa kulipiwa hawajalipiwa.implication ni kwamba wakishamaliza chuo hawana nguvu kisheria kudai bodi na chuo hakitambui mkataba kati ya bodi na mwanafunzi.so watalazimika kulipa wao ili wapate vyeti,wakati huo pesa ambazo hazikulipwa,watakatwa kwenye mishahara yao.so kifupi fedha yao imeliwa au na bodi au chuo na watalipa mara mbili pesa ambayo hawakutumia.
Tuliomaliza 2009 tulikutwa na maafa ya hivi kiasi mtu alikutwa akidaiwa zaidi ya 800,000 na mpaka leo watu wengi wamezuiliwa kupewa vyeti vyao mpaka pale unapolipia hlo deni
For sure,tunahitaji katiba mpya kabisa ndo matatizo haya yataisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.