navy boi
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 1,520
- 483
kazi tu mama ntilie wanavunjiwa vibana na kumwagiwa biashara zao,kazi tu waalimu na madaktari mishahara yao hawajalipwa na posho zao.kama muadilifu hata rungwe na anna ni waadilifu kwani wana kashfa gani wachagueni basi....
Tutii sheria bila shuruti
Hayo ya boda boda na mama ntilie hayatotokea tena
Sasa mama ntilie ukiwachekea wanafungua mabanda mpaka makutano ya tazara barabaran
Nenda kariakoo ukaome wamachinga walivyo wakorofi
biashara mpaka barabaran
Waguse uone
sasa serikali unailaum inapotekeleza majukum yake
Ebu acha kufuata mkumbo
chagua magufuli