Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 13,108
- 12,126
kazi tu mama ntilie wanavunjiwa vibana na kumwagiwa biashara zao,kazi tu waalimu na madaktari mishahara yao hawajalipwa na posho zao.kama muadilifu hata rungwe na anna ni waadilifu kwani wana kashfa gani wachagueni basi....
Sizani kama Mama ntilie wakifanya biashara zao sehemu sahihi watavunjiwa vibanda vyao na kumwagiwa chakula chao.
Tatizo letu Watanzania ni watu wa kulalamika sana.