mgombea wa ubunge dodoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mgombea wa ubunge dodoma

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by nurbert, Aug 4, 2012.

 1. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  mgombea ubunge m1 dodoma alikua akimwaga sera zake ili achaguliewe.. Ikawa hv..

  Mbunge:Mkinichagua mm kuwa mbunge wenu ntawajengea daraja kuubwa kuliko yote tanzaniaaaa

  wananchi:Ah wap ww unatudanganya si... Hapa dodoma mjini ukame hakuna mto ww

  mbunge:Ntauchimbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 2. Justin Dimee

  Justin Dimee JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 1,148
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Haah? Teh?
   
 3. S

  SHERRIE Member

  #3
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha, hizo zinaitwa juhudi za ziada.
   
 4. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,647
  Likes Received: 5,240
  Trophy Points: 280
  Mbunge; Kudadadeki ni chimbe nisichimbeeeee....!????
  Wananchi;....chimbaaa baba, chimba.!
  Mbunge; haya sasa kudadadeki, nani anabisha hapa? Nijigeuze wingu ninyee ShE hapa.

  mengine mtamalizia mi niliishia hapa nikaondoka mkutanoni.
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mbona kama Lusinde!!
   
 6. somba kankara

  somba kankara Member

  #6
  Aug 5, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ulipo-ondoka tu si akavua nguo zote harafu akaanza kulia tukashangaa wabunge wenzake walipokuja wakasema kuwa walimkuta anavutabangi mie pia nikaondoka baada ya kugundua mbunge ni mvutabangi
   
 7. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hahahahaaaaa lu.si.nde umeua
   
 8. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Dodoma ipi ya kule lake nyasa zaman a
   
 9. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #9
  Aug 5, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  hahahahaaaaaaaaaaaaa
   
Loading...