Mgombea wa CHADEMA Igunga anaitwa Mwalimu Joseph Mwandu Kashindye, ni mratibu wa elimu wilaya Igunga. Ni mkaaji wa Igunga, mwenye kujua matatizo ya wanaigunga, pamoja na matatizo ya walimu na wanafunzi kwa ujumla.

Bishop do u need to use your extra work energy to reply to that crap

I have, through bitter life experiences, learnt a supreme lesson of enduring vituperations and billingsgate coming out of ninnyhammer's mouths of you kind.

acha uongo kashindye ni muhamiaji aliyehamia igunga kwenda kufanya kazi akitokea igunga.

Sidhani kama atakuwa amefika hata Form FOUR, kama ndivyo basi atakuwa amepata FOUR.

I have, through bitter life experiences, learnt a supreme lesson of enduring vituperations and billingsgate coming out of ninnyhammer's mouths of your kind.

Jamaa mmoja anaitwa Kashidye, rafiki mkubwa wa Rostam Aziz, alikuwa mratibu wa kampeni za Rostam Aziz, vipindi vyote alivyokuwa anagombea Ubunge Igunga
Inaelekea Debate za kiingereza zilikuingia sana wewe kule skonga, hadi ukaendelea kubukua dictionary hadi sasa uraiani. You dont communicate, kwa sababu unatumia lugha isiyo communicative. Au unafikiri kila mtu anajisomea dictionary kama wewe? Au unafikiri kila mtu anao muda wa kupekua dictionary kutafuta hivyo vineno vyako? Mwisho wa siku hauwasilishi ulichokusudia. Ungeendelea na shule kidogo ungeelewa ninachokisema, lakini bahati mbaya huwezi kunielewa. Ningewashauri wakuu wote mpotezeeni huyu mtu, msirespond kwa post zake. Wakipatikana na wengine kama huyu basi tutamshauri MOD aanzishe jukwaa la english debates (kama itawezekana) ili wakaendeleze english course yao wanayoimiss, watuachie sisi jukwaa letu tuendeleze hoja tukitumia communication zetu.

I have, through bitter life experiences, learnt a supreme lesson of enduring vituperations and billingsgate coming out of ninnyhammer's mouths of your kind.
Yaani umempatia kweli huyu Mwita25 ngoja aingie library atafute dictionary akitoka huko hayo mabomba utayakimbia mwenyewe.CCM imesheheni wasomi kibao lakini jee wamelifanyia nini taifa hili zaidi ya kutufukarisha na kutulaza gizani miaka 50 baada ya uhuru. Hata wewe kama umesoma na una akili magando kiasi hicho huna faida yoyote. Na jua utashuka na kingeledha chako ukiamini huo ndiyo usomi. Usomi si kwenda shule peke yake bali usomi ni kuelemika.
Sidhani kama atakuwa amefika hata Form FOUR, kama ndivyo basi atakuwa amepata FOUR.

Sidhani kama atakuwa amefika hata Form FOUR, kama ndivyo basi atakuwa amepata FOUR.