Mgombea wa CCM Miraji Mtaturu, Jimbo la Singida Mashariki amepita bila ya kupingwa.

Duuh!
Kaka haya mamabo ya kisheria please usiongee kama hauna ujuzi nayo!
Zitto aliwahi fukuzwa CHADEMA na Mahakama ikamlindia ubunge wake
Aliyekuambia kama Mahakama haiwezi zuia uchaguzi usifanyike ni nani?
Zitto hakuwa anapinga na mgogoro na Bunge alikuwa na mgogoro na Chama chake. Kuzuia mchakato ni kusubiri maamuzi ya kesi ya msingi dhidi ya chama chake kufukuza uanachama.
Jimbo la Lissu uchaguzi umeshahitimishwa na mbunge kapatikana hata afike leo, maamuzi yanasimama kama yalivyo, pamoja na uamuzi wa tafsri utakaotolewa, kuwa upande wake ama la. Sana itakuwa ni kumsafisha na msingi/mafunzo ya baadaye.
 
Mkuu kuna watu hapa wanaishi kwa kazi hizi za sheria!
Hata kama Mtaturu ataapishwa,Mahakama ikisema Speaker ilivunja sheria kumfukuza Lissu, unadhani itakuaje?
Mahakama ikisema Mtaturu sio Mbunge halali unadhani itakuaje?
 
Unadhani kwanini CUF walishindwa kufungua kesi ya kupinga kufutiwa matojeo ya wabunge walitangazwa washindi lakini uchaguzi ukarudiwa?
 
Mahakama Kuu Dodoma ilisimaisha kufukuzwa ubunge kwa Nassari hadi kesi ya msingi itakapo isha
Kuna tofauti gani na kesi hii ya Lissu?
Mahakama ikisema Mtaturu SIO mbunge halali kazi imekwisha
 
Tofauti na hii ni kuwa uchaguzi umeshakamilika Mbunge amepatikana. Na kama ilivyotokea kwa Nassari, Kesi ilitupiliwa mbali sababu ya kinga za ki mihimili.
 
Back
Top Bottom