Mgombea wa CCM Miraji Mtaturu, Jimbo la Singida Mashariki amepita bila ya kupingwa.

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Miraji Mtaturu amepita bila ya kupingwa katika uchaguzi mdogo kwenye Jimbo la Singida Mashariki, baada ya wagombea 12 wa vyama vya upinzani kutorejesha fomu. Uchaguzi mdogo utafanyika Julai 31 kufuatia Wakili Tundu Lissu kuvuliwa ubunge.
 
Sijui wamelamba kiasi gani hao jamaa wengine kwa walichokifanya ili kumtengenezea jamaa njia.
 
Jamaa ni mafala na misenge ni balaa. Eti miaka karibia 60 tangu uhuru anakosekana mgombea aliye na sifa?

Hii inaonyesha kuwa njia pekee ya kuitoa sisiemu madarakani ni kumwaga damu.
Miaka 60 madarakani bado unaogopa uchaguzi.
 
Back
Top Bottom