Mgombea wa CCM Miraji Mtaturu, Jimbo la Singida Mashariki amepita bila ya kupingwa.

Jamaa ni mafala na misenge ni balaa. Eti miaka karibia 60 tangu uhuru anakosekana mgombea aliye na sifa?

Hii inaonyesha kuwa njia pekee ya kuitoa sisiemu madarakani ni kumwaga damu.
Wakati mwingine kuilaumu CCM inabidi kujiuliza mara mbilimbili, Je, hawa wagombea wa vyama vya upinzani 12 kukimbia na fomu za kugombea kusikojulikana wana akili kweli? Je wapinzani wa kweli hakuna ambao hawajiuzi? Wapinzani wataendelea na huu mtindo wa kujiuza mpaka lini? Kulaumu CCM kila siku siyo suluhisho bali wapinzani ndo wakulaumu sana kwa kukubali matakwa ya CCM kila mara.
 
mwisho wa siku familia yako ni bora kuliko chama cha siasa, dont blame them
Wakati mwingine kuilaumu CCM inabidi kujiuliza mara mbilimbili, Je, hawa wagombea wa vyama vya upinzani 12 kukimbia na fomu za kugombea kusikojulikana wana akili kweli? Je wapinzani wa kweli hakuna ambao hawajiuzi? Wapinzani wataendelea na huu mtindo wa kujiuza mpaka lini? Kulaumu CCM kila siku siyo suluhisho bali wapinzani ndo wakulaumu sana kwa kukubali matakwa ya CCM kila mara.
 
Lissu anafungua kesi Jumatatu Mahakama Kuu Dar!
Nina msikitikia Mtaturu ataukosa u DC pia ataukosa Ubunge,anarudi kijiweni!

Lissu hawezi shindwa kesi hii!

Hawezi kuukosa trust me, sijajua kwanini ila nahisi jiwe anaweka vitengo kwenye kila nyanja, nilibahatika kufanya kazi na braza yake anaitwa mohamed, alifariki kwa ajali ya gari
 
Lissu anafungua kesi Jumatatu Mahakama Kuu Dar!
Nina msikitikia Mtaturu ataukosa u DC pia ataukosa Ubunge,anarudi kijiweni!

Lissu hawezi shindwa kesi hii!
Hukumsikia akisema amekosa nauli ya kuja kufungua kesi Dar. Amemuombz wskili wake ama aa nauli amufuate Ubelgiji akamsainie Power of Attorney. Na hana shida na ubunge anachotaka ni mahakama ifafanue kama kufukuzwa kwake ni halali. Maana yake anajua Mhimili wa mahakama hauwezi kuingilia mchakato wa muhimili wa Bunge.
 
Hata kama amepita bila kupingwa uchaguzi lazima ufanyike unakumbuka kura za maruhani za Pemba.
Sikutarajia muhenga kama wewe taratibu hizi huzijui. Haimukini ilikuwa njia ya kuupoza moyo ili kupunguza msongo wa mawazo!!
 
Hukumsikia akisema amekosa nauli ya kuja kufungua kesi Dar. Amemuombz wskili wake ama aa nauli amufuate Ubelgiji akamsainie Power of Attorney. Na hana shida na ubunge anachotaka ni mahakama ifafanue kama kufukuzwa kwake ni halali. Maana yake anajua Mhimili wa mahakama hauwezi kuingilia mchakato wa muhimili wa Bunge.
Duuh!
Kaka haya mamabo ya kisheria please usiongee kama hauna ujuzi nayo!
Zitto aliwahi fukuzwa CHADEMA na Mahakama ikamlindia ubunge wake
Aliyekuambia kama Mahakama haiwezi zuia uchaguzi usifanyike ni nani?
 
Hawezi kuukosa trust me, sijajua kwanini ila nahisi jiwe anaweka vitengo kwenye kila nyanja, nilibahatika kufanya kazi na braza yake anaitwa mohamed, alifariki kwa ajali ya gari
Kama atarudishiwa U DC wake sawa
Kaka nina uhakika 100% Lissu atarudishwa ubunge wake hata kama Mtaturu atakuwa kaapishwa
 
Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Miraji Mtaturu amepita bila ya kupingwa katika uchaguzi mdogo kwenye Jimbo la Singida Mashariki, baada ya wagombea 12 wa vyama vya upinzani kutorejesha fomu. Uchaguzi mdogo utafanyika Julai 31 kufuatia Wakili Tundu Lissu kuvuliwa ubunge.
Ni sawa tu katika utawala wa kiimla haya tuyatarajie sana.
 
Lissu anafungua kesi Jumatatu Mahakama Kuu Dar!
Nina msikitikia Mtaturu ataukosa u DC pia ataukosa Ubunge,anarudi kijiweni!

Lissu hawezi shindwa kesi hii!
Kwanini hawa CCM wanapenda kuugharimu umma kwenye vitu vya kijinga?
 
Mimi nawapongeza hao kwa unoja wao walipoamua kutorudisha form. Maana wameliokia taifa na hasara ta ghalama za uchaguzi ambao bado ungezua maumivu tu kwa watu.

Hii inawaumbua waosio kuwa na uchungu na pesa zetu. Nawapa tano hao jamaa wa upinzania. Huyo "mbonge" atakuwa kama wa viti maalum tu.
 
Back
Top Bottom