[/QUOT![]()
Kwa picha hiyo inatoa tafsiri kuwa kuwa Jaji anaelekea kuwashinda wagombea wenzake wote 37 na kumfanya kuwa ndiye atakayepeperusha bendera kwa nafasi hiyo ya Urais kwa tiketi ya wana-magamba.
Inaelekea wale wanaokimbia nje ya running track ndiyo wale wanaotaka kufunga goli la mkono la staili ya Nape.Inawezekana Mwigulu tayari chali au kaachwa mbali sana. Si unaona kuna jamaa keshaanguka ? Ila naona kuna wengine wanakaribia kuacha njia kuwahi kiti wakati wenzao wanafuata njia.
Mbona mwigulu hayupo?