Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,334
- 72,798
Baba mzazi wa mgombea wa CCM ubunge wa Dimani amejitokeza hadharani na kumkana mwanae kuwa hiyo njia aliyoifuata hana radhi nayo kabisa.
Hilo sio jambo la kawaida, ni vema asisubiri kushindwa na kisha kwenda kumuangukia mzazi wake. Yeye ajitoe tuu kwani hata mwasisi wa chama hicho Mwl Nyerere aliwahi kusema CCM sio baba au mama yangu akimaanisha anaweza kuikana lakini hawezi kuwakana wazazi wake.
Laana hiyo! Jiepushe nayo. Mzazi anaona mbali kwa talanta alizopewa na muumba. Na kwa vile kaja hadharani ni wazi alishakuambia faragha hukusikia