Kura zimeshatosha mpaka muda huu. Bara bara za vumbi anatakiwa apite Magufuli ili ajue ni kiasi gani amecheza na maisha ya watanzania kwa kuchota fedha za wizara.ni hii mbinu aliyo muiga Magufuli kutumia usafiri wa barabara na kusimama njiani kuwahutubia wananchi, je itamsaidia wakati kipindi cha kampeni kiko awamu ya lala salama?
yeye anachagua kupita kule ambapo barabara ina lami. barabara za vijijini ambazo bado ni za vumbi anaenda kwa chopa, yeye hataki kuguswa na vumbi, kura nyingi tuna ambiwa ziko huko kwenye vumbi, je kura zisipo tosha atalalamika?
kazi kweli kweli, kumbe hii nayo ni kukumbuka shuka asubuhi! Magufuli 4 Change si ilibuniwa tangu mwanzo wa kampeni. na haihusiani kabisa na ile ya kutapeli watu inayokusanya "sadaka ya mabadiliko". halfu kson m unashangaza!
na kweli kilaza hajui kutofautisha kati ya kucopy na ubunifu, alama ya vidole viwili juu, juu-chini "watu wa Magufuli", hicho ndio tunaita kule shuleni ni kichwa. jamaa ni kichwa tukubali tu ya ishe.
Ohooooo...huyo anaiga kunya kwa tembo!
ni hii mbinu aliyo muiga Magufuli kutumia usafiri wa barabara na kusimama njiani kuwahutubia wananchi, je itamsaidia wakati kipindi cha kampeni kiko awamu ya lala salama?
yeye anachagua kupita kule ambapo barabara ina lami. barabara za vijijini ambazo bado ni za vumbi anaenda kwa chopa, yeye hataki kuguswa na vumbi, kura nyingi tuna ambiwa ziko huko kwenye vumbi, je kura zisipo tosha atalalamika?
Kuna video moja nimeona kuhusu Lowassa kushindwa kupanda jukwaani kwa kweli Mbowe atakuja kuchuma dhambi kuhusu huyu Lowassa.
Ameshachuma tayr
Maana mzee kashajinyea geita