Kojo Dowido
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 354
- 111
ni hii mbinu aliyo muiga Magufuli kutumia usafiri wa barabara na kusimama njiani kuwahutubia wananchi, je itamsaidia wakati kipindi cha kampeni kiko awamu ya lala salama?
yeye anachagua kupita kule ambapo barabara ina lami. barabara za vijijini ambazo bado ni za vumbi anaenda kwa chopa, yeye hataki kuguswa na vumbi, kura nyingi tuna ambiwa ziko huko kwenye vumbi, je kura zisipo tosha atalalamika?