14 August 2022
Mgombea urais kupitia chama cha Agano, Bw. David Mwaure Waihiga akubali kuwa ameshindwa kupata kura za kutosha toka kwa waKenya.
Bw. David Mwaure Waihiga amesema baada ya yeye pia mgombea wake mwenza bi. Ruth Mucheru Mutua na viongozi pamoja pia wanachama wa Agano kutafakari matokeo na kupitia kwa umakini mtiririko wa matokeo ya upigaji kura wameona bila shaka yoyote kuwa hawakupata kura za kutosha na hivyo kukubali kuwa ameshindwa katika uchaguzi ngazi ya urais.
Agano party presidential candidate David Mwaure Waihiga has conceded defeat ahead of the official announcement of Tuesday's presidential election results.
Waihiga, who has been trailing fourth in the presidential contest, also endorsed Kenya Kwanza's opponent William Ruto at a press conference in Nairobi on Sunday, August 14, 2022, after what he termed as wide consultations