Mgombea urais ni yupi aliyenadi sera vizuri?

Mgombea urais ni yupi aliyenadi sera vizuri?

wakimataifa.

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
1,625
Reaction score
559
Katika wagombea wanane wa urais, ni yupi aliyemwaga sera za chama chake na amefanya mikutano mingi?

Naomba tufanye mizani katika siasa kwa mwenye kuelewa kama walivyosafa atufafanulie sasa tunaelekea kwenye uchaguzi.
 
watanzania kwa sasa hatuangalii sera kama ni sera hakuna sera nzuri kama inayosema maisha bora kwa kila mtanzania,tunachoangalia kwa sasa je? chama husika kina uwezo wa kufanya kile kinachosemwa? ccm imedhibitisha kwamba,imeshindwa kufanya kinachoyasema
 
Kw hiyo chama cha UKAWA ndo kinaweza?
 
Sera alikuwa nazo kikwete tu.,.na hakuzifanyia kazi..,kinachofuata no mabadiliko
 
Magufuli ndio mpango mzima achana na wafuata upepo dada utaumia.

Jiheshimu wewe,mimi ni dada makini na nimefanya maamuzi sahihi.
Tutafutane baada ya October 25.
 
Magufuli wa kwanza,pili mama mwingira,tatu rungwe
 
Duh! Kwa hiyo unataka mabadiliko ya kumtoa mchapakazi na kumuweka fisadi Ikulu?

Katika mfumo huu wa CCM hakuna aliye mwadilifu. Hata ukaguzi wa mahesabu ungepitia Wizara yake mabomu yangeneka tu. CCM wanajificha kweye kivuli cha Magufuli lakini tutambue mfumo ni uleule ndiyo maana tunasisitiza mabadiliko.
 
Kipaumbele cha lowasa ni elimu, elimu, elimu halafu bure kuanzia vidudu hadi kupata phd. Hakika hii ndo habari ya mjini kwa kila mtanzania. Lowasa hoyeeeeeeeee!!!
 
Katika wagombea wanane wa urais, ni yupi aliyemwaga sera za chama chake na amefanya mikutano mingi?

Naomba tufanye mizani katika siasa kwa mwenye kuelewa kama walivyosafa atufafanulie sasa tunaelekea kwenye uchaguzi.

Swali linapaswa kuwa "Ni mgombea yupi anayetakiwa na Watanzania?"...jibu utalijua tar.25 tutakapovitumia vichinjio vyetu
 
Back
Top Bottom