Uchaguzi 2020 Mgombea Urais CCM: Msisumbuke kuangalia majina mengine kwenye karatasi ya kura, majina na wagombea wengine siyo halali, usipoteze muda kuwaangalia

Anajisumbua tu. Siyo Tanzania ya leo. Tume itamtangaza na tutaandamana. Wasifikiri TL ni Mbowe.
Kusubiri matokeo yatangazwe eti ndio watu waandamane itakuwa too late.

Hapa mnapaswa kwenda kupiga kura kwa wingi vituoni (sio kelele tu humu jamvini) then kuamini kwamba Mawakala huko ndani watasimama kidete kuhakikisha kura zinaandikwa kama zilivyo.

Akishatangazwa mtu hapo ujue maandamano yatazimwa kwa nguvu kubwa na most likely viongozi watakuwa wakihamasisha maandamano huku wao wamejifungia ndani
 
Huyu mzee imethibitika kabisa kuwa anawazimu!
Tusikubali aendelee kutuongoza, tumnyime kura kabisa
 
Ni dhambi kupigia kura chama kingine nje ya CCM

His Excellency President Magufuli is the man of century in Tanzania and Africa

All votes for you Mr President
Daah we jamaa unasema hivi kabisa kwa akili alizokupa Mungu unaamua kuzitumia ovyo, kwamba kupigia vyama vingine ni dhambi, aisee😭😭😭😭
 
Labda akawadanganye watu wa CHATO,
Na sijui kama wanaweza kudanganyika kilahisi hivyo wameshashituka.
 
Mungu nipe uhai na familia yangu tufike 28 October na kupiga kura.
 
Nilikuwa na wazo la kutopiga kura mwaka huu ingawa nilikuwa najua yupi ni mtu sahihi kumpigia kura. Ila kauli Kama hizi zinanipa shauku ya kutaka kujua nini kitatokea nikienda kumpigia kura mmoja kati ya wagombea hao anaowasema yeye, Je kwa sababu majina yao sio halali je kura yangu itahesabiwa? NEC wangetufafanulia hapa.
 
Kusubiri matokeo yatangazwe eti ndio watu waandamane itakuwa too late.

Hapa mnapaswa kwenda kupiga kura kwa wingi vituoni (sio kelele tu humu jamvini) then kuamini kwamba Mawakala huko ndani watasimama kidete kuhakikisha kura zinaandikwa kama zilivyo.

Akishatangazwa mtu hapo ujue maandamano yatazimwa kwa nguvu kubwa na most likely viongozi watakuwa wakihamasisha maandamano huku wao wamejifungia ndani
Kwa hiyo mkuu we una uhakika na kitakachofanyika ndani kwamba kumbe mawakala ni majina tu lakini wanakandamizwa hakuna haki ya kazi yao
 
Sikutegemea mtu kama Barafu angekuwa wa ajabu namna hii! Umetuangusha kushabikia Mtu ambaye ana tiketi ya kurudi na wewe ni mbobezi wa masuala ya usafiri wa ndege. Inaonesha siku hizi umekuwa wa hovyo
Hapo chini baada ya JPM kuna wagombea wengi, wote wana haki ya kutambulika kama Wagombea halali na si kwamba hawana uhalali. Kwa bandiko hili umeshajipa nafasi ya kunichagulia mgombea? Mimi huwa naandika, sifungamani na utumwa wa vyama.
 
Ni dhambi kupigia kura chama kingine nje ya CCM

His Excellency President Magufuli is the man of century in Tanzania and Africa

All votes for you Mr President
Huu ni mwaka wa wapinzani kulamba ushindi. Sychelles wamefanya yao tayari, sisi bado Masaa tufanye yetu.
 
Back
Top Bottom