Mgombea Urais CCM ameshachapia huko yupo Ngerengere anataja Ngorongoro kila wakati

Mgombea Urais CCM ameshachapia huko yupo Ngerengere anataja Ngorongoro kila wakati

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Wakuu,

Inabidi wanaosimamia kampeni za Mgombea urais CCM wawewanamkaririsha vizuri hotuba maana anachapia sana.
Mgombea unachanganya maeneo ya nchi yako tena ndo upo ziara? hii ni aibu sidhani kama anaelewa anachohutubia

Kifupi huyu haijui TANZANIA.
Kuna wilaya nyingi tu hajawahi kanyaga na hata kanyqga.
Hata hiyo ccm haijui huyu
Alitoka kwao na makapu yake ya NAZI na NGONDA akaja kukutana na uraisi huku bara..
Ukichanganya na mengineyo yale lazima achanganye
 
Kwani ni ngerengere ama ngorongoro? Nimeona ameomba samahani na kusahihisha ni ngorongoro
 
Kwani ni ngerengere ama ngorongoro? Nimeona ameomba samahani na kusahihisha ni ngorongoro
1756457642573.png
 
Duuh! Sipiendi aendelee lakini moyoni napata huruma. Namuona sawa kabisa na mama yangu mzazi. CCM wanatutia majaribu sana.
 
Wakuu,

Inabidi wanaosimamia kampeni za Mgombea urais CCM wawewanamkaririsha vizuri hotuba maana anachapia sana.
Mgombea unachanganya maeneo ya nchi yako tena ndo upo ziara? hii ni aibu sidhani kama anaelewa anachohutubia

Huyu siyo mtanganyika, kuna majina nchini kwao ndo kayazoea. Mchambawima, Dole, makunduchi, kojani nk. Sasa haya ya kipogolo na kimasai ni ngumu kutofautiasha.
Ni rahisi pia kukumbuka alichouza kwa wajomba.
 
Back
Top Bottom