Mgombea Urais 2020: Ili ushinde, tuambie kama utarudisha fao la kujitoa

Kwa yeyote anayetarajia kugombea urais 2020, aidha nje ya kijani au ndani, chukua huu ushauri.

Ahidi kurudisha fao la kujitoa, lakini pia pindua ile 25% papo hapo na 75% ukiwa umefariki.
Mkuu unaishi wapi? Wakati wa kuomba kura wanasema lolote. Ukitaka waseme watarudisha FAO LA KUJITOA, WASTAAFU WATALIPWA PENSION YOTE watasema tuu. Wakipata madaraka, watasema fao la kujitoa na pension za wastaafu zimelipwa kupitia fly over, elimu bure nk.
 
kama huna takwimu thread yako ni ya kufikirika
Mtanzania gani wa kawaida anajua fao la kujitoa?
Kila kitu duniani huanza kwa kufikirika. Waliotengeneza magari mpaka ndege, walianza kufikirika kwanza.

Hapa jamii forum, sio wote ni waajiriwa, wengine ni wafanya biashara na wanajua kinachoendelea kuhusu fao la kujitoa.

Huyo mtanzania wa kawaida Kama huwa anaenda kupiga kura, njia anayopata taarifa ya kupiga kura, na kwenye hili atapata.
 
Back
Top Bottom