Mwizi aseme kaiba nini?mbona CHENGE,LOWASSA,NGELEJA,MKULO wapo bungeni na ni wizi wanaotambulika na dunia nzima.
Ha rais ni mtuhumiwa wa wizi wa epa
Mwizi aseme kaiba nini?mbona CHENGE,LOWASSA,NGELEJA,MKULO wapo bungeni na ni wizi wanaotambulika na dunia nzima.
kwa hiyo unataka CHADEMA nayo iwe na kina CHENGE,LOWASSA,NGELEJA na MKULO wao ili iweje? Fikiria huyo mgombea angekuwa ni wa CCM ungeandika sentensi hii uliyoandika? Hivi jambo baya ni lile linalotendwa na CCM tu. Mimi kwa ushauri wangu ni kama kweli si Propaganda za kisiasa, ikithibitika kwamba kweli jamaa ni mwizi basi CHADEMA ifute udhamini wake kwani ni bora kutokuwa na mgombea kwa kulinda heshima ya chama kuliko kuwa na mgombea anayechafua heshima ya chama.Halafu kama pia ikithibitika hao viongozi waliomweka huyo jamaa nayo pia waadhibiwe.
UKWELI HAUNA CHONGO WALA KENGEZA!!
Usiwe na ushabiki wa kijinga ndugu changanua mambo.Kwani hujui au unajifanya kama hujui kma haujui basi......................Wizi haoooooooooooooooooooooooo Chademaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hoiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kwa wizi kumbe chama cha wafadhili wa wizi................
Una ushaidi na uongeacho?CHADEMA mnasikitisha yaani mmekosa wagombea mnaenda kumpitisha jambazi wa kutumia silaha?
Hapa ndipo wasanii wanapokosa utashi wa kutunga hadithi zao, yaani kwa mtu anaweza kufanya tathimini hii habari haina mashiko, ila kwa wanaosoma juujuu wanaona ipo sawa kabisa hapa ndipo unaweza kunyambua yupi ni great thinker na yupi ni great kilaza. Ila kwa sababu imeletwa na gamba mi sishangai kwa kuwa liliona neno chadema na mwizi halikujihangaisha hata kuchambua zaidi ya kuibeba na kuitupia jinsi ilivyoSasa mwizi anafanya nini uraiani? Police wafanye kazi yao sasa, na huyo mzee ni kituko, yeye kaishasema jamaa mwizi alikamatwa na bunduki alafu hapo hapo , kauza ng'ombe ili akamtoe mwizi police.Inamaana alitoa rushwa ili amtoe police.
Mwizi aseme kaiba nini?mbona CHENGE,LOWASSA,NGELEJA,MKULO wapo bungeni na ni wizi wanaotambulika na dunia nzima.
Mzee analalamika Shida, Mtoto ndo huyooo anagombea udiwani ili aje amtoe Maishan yeye anatake kuweka Kauzibe.
Usiwe na ushabiki wa kijinga ndugu changanua mambo.
1. Tunahitaji kujua huyo mzee ni mfuasi wa chama gani maana inawezekana ni propaganda za CCM kwani wako tayari hata kuchonganisha familia kwa maslahi ya chama chao
2. Huyo mzee pia ni mwizi aliyekubuhu kwa nini aliuza mali yake ili kumtoa mwizi na je hizo fedha alitoa kama faini baada ya hukumu au ilikuwaje? na alimpa nani hizo fedha? TAKUKURU FANYENI KAZI HAPO maana huyu mzee kajichomeka mwenyewe.
3. Wizi wa huyo kijana umeonekana wakati wa kampeni tu? sidhani na sitarajii kuwa na ukweli hapo na nahisi tutapata ukweli muda si mrefu.
CHADEMA mnasikitisha yaani mmekosa wagombea mnaenda kumpitisha jambazi wa kutumia silaha?
kwenye red hapo mtu anaitwa hivyo na mahakama na sio propaganda, na wewe la GT usiamini kila kitu kinachosemwa na hasa kwenye ushindani wa kisiasaLakini tuache ya baba na mwanae, Hichi CDM mpaka wanapitia mchakato na kumpata huyo mwizi hawakujua? makusudi au kawaida yao?
Nyani haoni Ku-ndu-le (Magamba hayaona masburi yao).
Hivi Lowassa, Chenge, Karamagi na wengineo wameshathibitishwa na Mahakama kwamba ni Mafisadi, au ni lini Polisi wamefanya upelelezi wa tuhuma zinazotolewa dhidi yao?CHADEMA watadhibitishaje ni mwizi?mahakama ndio chombo cha kudhibitisha na POLISI ni chombo cha kufanya upelelezi kama wote hawa wapo kimya huyu bwana anachafuliwa tu.
Ukweli ukidhihiri ubaya hujitenga..hongera baba yake mana umesema ukweli haya wana CDM munasemajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee