Mgombea UDIWANI kata ya mwawaza ni mwizi - BABA YAKE mzazi

Mwizi aseme kaiba nini?mbona CHENGE,LOWASSA,NGELEJA,MKULO wapo bungeni na ni wizi wanaotambulika na dunia nzima.

mijitu ya,chadema kwa kutetea ata upuuzi hawajambo,baba yake mwenyewe kasema mwanae ni mwizi wewe unabisha
 
Mwita Maranya na wengine mimi sisemi kama ni kweli huyo kijana ni mwizi bali ninachotaka kusema kwa kuwa tumeshajiruhusu kuwaita watu wengine wezi na Mafisadi hata bila watu hao kukamatwa na Polisi na au kufikishwa Mahakamani, basi hata wale tunaowapenda wakiitwa wezi tukubali tu kwani wale tusiowapenda tunapowaita wezi na mafisadi nao pia wanakuwa hawajakamatwa wala kutiwa hatiani na Mahakama!!
 
Last edited by a moderator:
Sasa mwizi anafanya nini uraiani? Police wafanye kazi yao sasa, na huyo mzee ni kituko, yeye kaishasema jamaa mwizi alikamatwa na bunduki alafu hapo hapo , kauza ng'ombe ili akamtoe mwizi police.Inamaana alitoa rushwa ili amtoe police.

Huyu Mdingi uzee unamjia vibaya. Hawa ndio wale waliokunywa maji ya Bendera. Bila shaka jamaa wameshampatia kangala au Chimpumu ili amtoe kasoro mtoto wake. Nikiwa na baba kama huyu wallahi ni kumchapa bakora hamsa hadharani!!!!!!!!

Eti mwizi wa kutumia Buinduki mdingi kauza ngombe kuwekea dhamana!!!!! PTYUUUUUUUUUUUUUU!!!!

Bila shaka na baba naye ni Jambazi huyu.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Sasa mwizi anafanya nini uraiani? Police wafanye kazi yao sasa, na huyo mzee ni kituko, yeye kaishasema jamaa mwizi alikamatwa na bunduki alafu hapo hapo , kauza ng'ombe ili akamtoe mwizi police.Inamaana alitoa rushwa ili amtoe police.

Nahisi kama vile huyu mzee anatumiwa na magamba na ameshaahidiwa ubwabwa. Kwanza akapimwe akili kwani naona kama vile anajichanganya mwenyewe. Eti mwizi, aeleze kaiba nini?. kauza ng'ombe ili akamkomboe, ina maana hakuwa tayari sheria ichukue mkondo wake? Kama kweli alikutwa na bunduki, anafanya nini uraiani? Polisi walimwachia mtuhumiwa kwa kigezo gani? Maswali sio tu kwa huyu mzee, bali pia polisi wana maswali ya kujibu hapa.
 
Huyo mzazi ni CCM damu, kaona mwanaye atachaguliwa Chadema na hilo linamuumiza yeye kama mwana-CCM na wala sio kama mzazi. Huyo mwanaye hana hata chembe ya wizi. Kama ni mwizi awasilishe ushahidi.
 
Ushauri: Amfungulie baba yake kesi ya madai kwa kumchafulia jina, kwani hakuna kielelezo chochote kuwa ni mwizi. Ni mahakama ipi ilimtia hatiani kwa kosa la wiz? Kauli za kitoto kutoka kwa wakubwa zisirudishe nyuma nguvu za anti-magamba.
 
Sasa mwizi anafanya nini uraiani? Police wafanye kazi yao sasa, na huyo mzee ni kituko, yeye kaishasema jamaa mwizi alikamatwa na bunduki alafu hapo hapo , kauza ng'ombe ili akamtoe mwizi police.Inamaana alitoa rushwa ili amtoe police.

Ni kweli huyo mzee atuambie, fedha alizozipata kwa kuuza ng'ombe zilimtoaje mwanae polisi na kwa sheria ipi?
 
Kama mwizi hafai kua kiongozi wa chama makini kama Chadema.

mimi hawa wazee huwa siwasikilizi hata kwa bunduki. Badala ya kuwa ukubwa dawa wamegeuka kuwa ukubwa balaa. Yaani,mkidai mshahara mkubwa wanasema wao walianza na mdogo hivyo tusidai hela nyingi. Aafu jioni analalamika humpatii hela. Sasa kawa wazazi wenyewe ni jamii ya wasira unategemea nini?
 
Duh, labda walikosa mtu wa kmuweka.

Baba amepewa kitu kidogo amsaliti mwanae, wananchi siyo wajinga wamsimamishe mtu mwizi agombee udiwani watu wanafahamiana sana vijijini! Pili story inajichanfanya baba amesema aliuza ng'ombe kumuokoa mtoto wake at the same time anasema anaishi kwa shida mtoto hamsaidii there is contradiction there! Tatu hii vita ya kuiondoa CCM itatenganisha hata familia, kama baba ni CCM na mtoto ni CHADEMA obvious hawezi ungana mkoto hasa pale baba anapokuwa coerced kwa pesa na ufisadi. Nne gazeti lililotoa habari not reliable source!
 
Ushauri: Amfungulie baba yake kesi ya madai kwa kumchafulia jina, kwani hakuna kielelezo chochote kuwa ni mwizi. Ni mahakama ipi ilimtia hatiani kwa kosa la wiz? Kauli za kitoto kutoka kwa wakubwa zisirudishe nyuma nguvu za anti-magamba.

Wanasheria wa chama waende kufuatilia hili swala ili wazee waongo kama hawa wafundishwe adabu!
 
Huyo mzazi ni CCM damu, kaona mwanaye atachaguliwa Chadema na hilo linamuumiza yeye kama mwana-CCM na wala sio kama mzazi. Huyo mwanaye hana hata chembe ya wizi. Kama ni mwizi awasilishe ushahidi.

Kauli ya huyu mzee ni mtaji wa kisiasa kwa kijana wake, wanatakiwa wapewa ushauri na political scientists namna ya kucapitalize kwenye hii issue na hatimaye mzee aaibike!
 
Huyo siyo baba yake ni njaa ya tumbo ndiyo inayoongea, polisi wamkamate huyo baba na kumtaka atoe ushaidi wa vyote vilivyoibiwa na kwanini nalikaa kimya siku zote hizo.............................njaa ya tumbo mbaya sanaaaaaaaaaaaaaaa
 
Huyo mzee anatumika..ivi anakubali kutumika kumharibia mwanae? Kweli magamba hayana adabu.
 
Kwani hujui au unajifanya kama hujui kma haujui basi......................Wizi haoooooooooooooooooooooooo Chademaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hoiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kwa wizi kumbe chama cha wafadhili wa wizi................

Huyo mzazi ni mla rushwa,uongo wake utajulikana siku matokeo yakitajwa.
 
Back
Top Bottom