TANZIA Mgombea Udiwani Kata ya Kayanga jimbo la Karagwe afariki ghafla akienda kuchukua fomu

AKASINOZO

JF-Expert Member
Aug 22, 2016
1,367
2,217
Ndugu Theofily Kweyamba maarufu kama Lowassa mgombea wa udiwani CCM kata ya Kayanga wilaya ya Karagwe amefariki ghafla wakati akienda kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa nafasi ya udiwani.

Mpaka sasa haijafamika chanzo cha kifo chake

Kweyamba.jpg

Poleni wafiwa wote
 
Hivi yule wa sifa ndio kafa unaweza kusema?

Mungu tunaomba utusikie.
 
Back
Top Bottom