DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Mgombea nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Musa Musa ambaye ameteuliwa na Chama hicho Kata ya Lugelele Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya, amejenga kiwanda cha bilioni kumi na nne kitakachoajiri vijana 400 na kusaidia kutatua changamoto ya ajira.
Bw. Musa baada ya kuchukua fomu kwa ajili ya kugombea nafasi ya Udiwani Oktoba 2025 amebainisha vipaumbele vyake huku akisema endapo wananchi watampa ridhaa ya kuwa Diwani wa Kata hiyo hatowaacha wanawake pamoja na vijana.