kwa faida ya ambao hawakuona:
.....amesema vijana wanaota jua tu siku nzima kama solor power kwasababu hawana kazi
....eti kilimo kwanza, education second
.....amesema marufuku wanafunzi kwenda shule na majembe, atanunua power tiller kwa kila shule
....amesema yeye ni mbele kwa mbele tu......samaki haina reverse
.
Kimsingi gage ya alcohol ilikuwa ipo chini ya Full kidooogo!!!
mimi nimempenda huyu jamaa..........kwenye swala la vijana kuota jua tuuu, kazi hakuna.
Mwishoni mtangazaji alisema hawa jamaa wanafaa kuwa zecomedy, yaani mgombea anaingia na swaga la sebene la Werasoni zenith kisha kuwaambia vijana kuwa suala la ajira litakwisha na hivyo kuotea jua kama solar panel bye bye!!!Mgombea ubunge kwa tiketi ya UPDP akijinadi kuomba kura huko Igunga,nanukuu;Mkinipa ubunge,nitaanza na vijana>>>vijana mnakaa vijiweni bila kazi>>>Vijana mna very problem>>>Mnakaa juani kama solar panels>>>mkinipa kura zenu,watoto wenu hawataenda na majembe shuleni na badala yake nitauza VX langu na kununua powertillers kwa kila shule>>>Nitanunua matrekta na ninyi vijana msio na ajira ndo mtakuwa madereva,naombeni kura zenu.Yaani sera hazina ushirikiano,english mbovu,mtu anaongea kama kalewa,daah!MUNGU kibariki CHADEMA!
Mgombea ubunge kwa tiketi ya UPDP akijinadi kuomba kura huko Igunga,nanukuu;Mkinipa ubunge,nitaanza na vijana>>>vijana mnakaa vijiweni bila kazi>>>Vijana mna very problem>>>Mnakaa juani kama solar panels>>>mkinipa kura zenu,watoto wenu hawataenda na majembe shuleni na badala yake nitauza VX langu na kununua powertillers kwa kila shule>>>Nitanunua matrekta na ninyi vijana msio na ajira ndo mtakuwa madereva,naombeni kura zenu.Yaani sera hazina ushirikiano,english mbovu,mtu anaongea kama kalewa,daah!MUNGU kibariki CHADEMA!
Siyo mwaka huu tu mkuu, kuanzia uchaguzi huu na chaguzi zote zinazofuatia tutaona mengi mno. Sasa ni siasa na vituko kwani watu wameanza kuizoea siasa na kuona ni kitu cha kawaida.mwaka huu tutaona mengi..siasa zimeingiliwa.
Huyu mgombea ubunge nimemkubali maana amenichekesha sana kwakweli na he knew he was a joker!
Nadhani wasingelaunch wangekosa posho...
Ahadi kama za ndio mzee ya prof J...ametoa zile ahadi za kizamaniiiii