GE2025 Mgombea ubunge CHAUMMA Amnadi diwani Act -Wazalendo Same

GE2025 Mgombea ubunge CHAUMMA Amnadi diwani Act -Wazalendo Same

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mgombea ubunge Same Magharibi Mkoa wa Kilimanjaro kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Gervas Mgonja, ametumia mkutano wake wa hadhara uliofanyika leo Septemba 17,2025 katika uwanja wa Cooperative, kumnadi mgombea udiwani wa Mhezi jimboni humo kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Anthony Ishike (kulia). Chaumma hakina mgombea udiwani katika kata hiyo.

Pia Soma: GE2025 - Mgombea urais CHAUMMA amnadi mgombea udiwani ACT Wazalendo
1758190234575.png
 
Watoto wa mama hao, ACT na Chama cha ubwabwa ni "paychecks" za CCM.
 
Back
Top Bottom