Mgombea Mwenza wa urais wa CHADEMA yuko hapa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgombea Mwenza wa urais wa CHADEMA yuko hapa!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kalunguine, Oct 21, 2010.

 1. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Baada ya kuona swali la mdau hapa kwenye JF leo asubuhi,niliamua kwa dhati kabisa kufuatilia habari za mgombea mwenza wa chadema kwanza kwa kuaniza nyumbani kwake kwani ninaishi nae karibu sana na tunafahamiana japo hatuna mazoea ya ukaribu wa kupindukia.

  taarifa ya kwanza nliyoipata toka kwa mmoja wa wanafamilia wake aliniambia mzee yupo MWALAS (MWANAKWEREKWE LANGUAGE SCHOOL),Nikaauliza swali la pili je anafanya nini pale?? kwa wanaoijua MWALAS pale kuna shughuli nyingi,kwani jamaa wanafundisha lugha mbalimbali,computer,driving nk.na pale nje kuna shughuli ya uoshaji magari,nikajibiwa ya kuwa si unajua mzee anaweza kuwa vice president?? xo yuko pale anajifua!!!!


  CHADEMAAAAAAAAAAAA!!
  WATU: VEMAAAAAAAAAAAAAA

  PEOPLEEEEEEEES
  WATU: POWEEEEEEEEEEEEER   
 2. K

  Kipenzi Chao Member

  #2
  Oct 21, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sijakuelewa....! Aidha, niko :confused2:
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  el crapiso!
   
 4. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Mwaka huu tutaona mengi........!!
   
 5. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  we unajitambua?
   
 6. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,633
  Trophy Points: 280
  Imenibidi nijizuie kucheka,Mkuu kwanini usiipeleke kwenye joke !.
   
 7. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Huyu amejiunga JF kumpigia kura JK kwenye poll, sasa hana la kufanya hivyo anapayuka tu!
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Sijajua uloliandika mkuu, too metaphysical!
   
 9. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kama slaa anavyopayuka tu enh???
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2010
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Sijakulewa kuna alama za mafumbo wakati wa kutufikishia habari hii. Wakati mwingine ni vizuri kuwa muwazi zaidi.......... watu tunatofautiana kuelewa haraka, ubongo na kichwa havina uwiano lakini tupo hapa JF. Tumia lugha rahisi na nyepesi ili hata tusioelewa haraka tuweze kuchangia.
   
 11. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  duh! ina maana mgombea mwenza hajui kiingeretha? hahaa! huu utani huu,si hata wachaga wakike huwa wanachaguliwa wabunge wa viti maalum eti wamesoma kuliko wenzao sasa hapa vipi? aaah,nimekumbuka! walitaka kumuazima yule kiongozi wa kambi ya upingaji bungeni the full bright akawatolea nje! yaani hawana chama katika jamhuri bali moshi pekee halafu wanataka "inji"
   
 12. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ganja bana,we nae ingia taratibu basi uwanjani
   
 13. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #13
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  oooooh lalalaaaaaah
  , ccm kila woote akili zao ni kama za huyu jamaaa
  [​IMG]
   
 14. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Lahaulaaa lakuataaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 15. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kama angevalishwa mawani ya jua angalifanana na mgombea mwenza wa El madras Hon. Dr Chakachua, Kiherehere
   
 16. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,908
  Likes Received: 12,066
  Trophy Points: 280
  Bilal hayuko hivi.
   
 17. Mwawado

  Mwawado JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 998
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35
  Ustaarabu ni kitu cha bure Waungwana!....Matusi na kejeli hizi sio kiwango chetu hapa,hizi siasa za majitaka tusizipe nafasi.....kiwango chetu cha ustaarabu tunakipunguza kwa mambo kama haya,hapa mahali pataonekana kama kijiwe cha wavuta bangi kwa mabandiko ya namna hii.Pamoja na tofauti zetu za kiitikadi,lakini sote ni Watanzania.Nchi yetu tuiendeshe pamoja bila kujali Itikadi za vyama vyetu.Tofauti zetu ni ndogo kuliko matatizo yanayotukabili.
   
 18. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  ukikiona kiti,akili yako ikatambua kuwa hiki ni kiti basi na wewe ushakuwa kiti,hahahaaaaaaaaa!!
   
 19. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  The Following 2 Users Say Thank You to MWANALUGALI For This Useful Post:

  Bigirita (Today), Rev Masanilo (Today) ​
   
 20. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Kama imeingia sio? kicheko tuuu!
   
Loading...