Uchaguzi 2020 Mgombea Mwenza wa CHADEMA, Salum Mwalimu aendelea na kampeni huko Same

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
124,399
236,026
SALUM MWALIMU: MNAAMBIWA MZAE WAKATI HUDUMA YA MAMA NA MTOTO NI MBOVU

Mgombea mwenza wa Urais kupitia CHADEMA, Salum Mwalimu akiwa Wilayani Same amesema, Rais Magufuli anawaambia watanzania wazae wakati huduma ya mama na mtoto ni mbovu.

Amesema Serikali ya Dkt. Magufuli ambaye bi Mgombea wa Urais kupitia CCM, imekuwa ikifanya biashara kwa akina mama wajawazito ambapo wakitaka kujifungua wanaambiwa waende na vifaa hospitalini.

Akigusia uwakilishi wa Vijana, Salum amesema "Vijana huu ni wakati wa kufanya maamuzi ili tukatetee maslahi ya vijana. Miaka yote tumekosa wawakilishi wa vijana kwenye ngazi za juu za maamuzi. Nitakuwa Makamu wa Rais wa kwanza mwenye umri ndogo.
-
Ameongeza kuwa, Rais Magufuli anaamini kwenye maendeleo ya vitu, anazunguka na kusema amenunua ndege lakini haziwasaidii chochote wananchi.

===========

Mpaka sasa ccm haijui cha kufanya ili kuizuia Chadema kuchukua nchi , Style mpya ya TRIANGLE ATTACK inayotumika na Chadema imewachanganya hawana cha kufanya , hawajui wamzuie nani kati ya Mwalimu , Mbowe , Mimi au Lissu

_v_type_4_ ( 426 X 640 ).jpg

Hii ni Same ambako Mgombea mwenza amepata wasaa wa kumnadi Mgombea ubunge wa jimbo hilo ambaye ni Nangenjwa Kaboyoka

Subpost 1 - ‪PICHA_ Mgombea mwenza wa Urais wa Tanzania kupitia Chadema, Salum M ( 426 X 640 ).jpg

Kazi ndio kwanza imeanza
 
Watakaoipigia kura CCM.

1. Wanaonufaika na uwepo wake madarakani.
2. Wajinga + wapumbavu.

Watakaopigia kura wapinzani Ni.
1. WanaCCM walioumizwa na serikali ya Magufuli mf: vyeti feki, kikokotoo.
2. Werevu wote.
 
Back
Top Bottom