Mgombea mwenza kurejea CUF

Umeota wapi jombiii
 
DUNI kujitoa kwenye Chama cha Chadema kuna 100%mpaka sasa CUF wamecharuka hawaoni faida ya Ukawa kwao
 
Hata kutunga uongo hujui, unasema malalamiko yapo kwa wana CUF bara, umeigawa CUF bara na visiwani na malalamiko yanatoka CUF bara eti mgombea mwenza anayetoka visiwani arejee CUF visiwani. Poor logic. Ngoja nikufundishe, siku nyingine Ukitaka kutunga habari tengeneza msingi wa logic ili usikinzane na premises zako.
 
Taarifa za uongo uongo hazipaswi kutiliwa maanani.

Habari za kweli zipo kwenye vitabu vya mungu..Siasa si za mungu..usisome hata magazeti,usiwe jf wala usisikilize radio..UTAKUA MKWELI...Hapa kinacho jadiliwa ni habari za kidunia ambazo ukielezwa beba jema lisilo jema acha..Hata wewe muongo kua hapa mda huu..
 
Haya sasa washaanza kutafuta mchawi nani wamevurugana CCM ndo chama imara nabaki uku
 

Habar yako Mr Chin
 
Last edited by a moderator:
Mnanziasha mada alafu unajijibu. Manamaliza bundle au nisawa na kujitekenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…