unaitumia akili yko kuitabiri akili ya mtu mwingine..nonsenseAkiangalia hizo nyumba anawaza hawa Malofa pumbavu sana mimi nipate changu nipite hivi.
Huleti sense..hapo kigwangala anazuia shughuli gani..lowassa alete file ni tushindwe kufika makazini kwetu.ndo nn sasa,Lowasa akipanda baiskeli Kova anampa kesi.
Jimbo lake ni maskini nyumba za udongo na nyasi huku c kuwahadaa watanzania. Poor ccm.
Afanyeje sasa ,ajenge nyumba za tofali kwa ela zake..tunashindwa kuelewa kazi y mbunge.yeye ni messenger,anatoa message from point A wananchi to point B serikali.mjumbe hauawiJimbo lake ni maskini nyumba za udongo na nyasi huku c kuwahadaa watanzania. Poor ccm.