Mgombea CUF asimamisha biashara Sokoni Igunga.

Sasa anakwenda kusikiliza kero ina maana alipokuwa akigombe hakujua kero hizo au? hivi anaenda kusikiliza kero kwa kuwatembelea wananchi hivi kashapita? KWELI KIZURI CHAJIUZA NA KAIBAYA CHA JITEMBEZA
 
Mwambie Mwigulu akachukue under...re yake gesti alisahau akichelewa hadi kesho tunaitundika kama bendera maana ilikuwa ya kijani.

Vita Slaa hajambo...tunamsubiria atangaze kugoma kutambua matokeo kama kawa..complains complains...

Wafuasi wa padre aliyeasi mna mambo...
 
Back
Top Bottom